Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,225
- 8,780
Ndivyo mnavyofundishwa kanisani , Nilitaka kukumbusha ile serikali iliyopinduliwa na Nyerere 1964 ikiongozwa na Mpemba wa Ole Muhammed Shamte , yeye si mwarabu na ilichaguliwa kihalali chini ya Tume huru ya uchaguzi.Ngoja ulale ndipo uote. Wazenj wanahitaji muungano ili ima wasichinjane au kuwekwa rumenya na waarabu. It is that simple.
It is that not simple.