Gigo'sFather
Member
- Nov 11, 2006
- 50
- 0
Haya....!!!
suluhisho ni Serikali Moja mabunge mawili....!!!
suluhisho ni Serikali Moja mabunge mawili....!!!
Globarch hakuna haja ya mijadala - na anayetaka kuanzia mijadala atakuwa amevunja sheria waziri mkuu alishatoa tamko la serikali watanzania wote wafuate hilo asiyekubali basi yeye haitakii mazuri nchi hii , ni kama muasi na fisadi wa kisiasa na mwaka 2010 atakokoma
Mkuu Field Marshal ES;
Kwanza sahihisha hakuna Rais wa Zanzibar... bali Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar!
Pili, Nakubaliana na MMK kwamba Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni Serikali ndani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama zilivyo serikali nyingine nyingi za tawala za mikoa.
Yesu alisema 'wasamahe kwani hawajui walitendalo'. Hivi huyo aliyejifanya 'Mzanzibara' anajua lolote kuhusu muungano? Achilia lugha chafu aliyotumia, huyu inafaa asaidiwe kwa kumuelimisha zaidi kuhusu hoja iliyopo kwenye meza yaani 'muungano'. Pole ndugu yetu omba uelezwe lakini sio kututisha na matusi yako.
Mbunge Lucas Selelii jana ametoa mtazamo wake kuwa sasa imefika wakati Wazenji waache kulalamika kama vile wao ndo wanaonewa saana katika muungano huu. Akatoa tahadhari kuwa hata Wabara wana mambo mengi ambayo wamepoteza baada ya Muungano, lakini wanavumulia kwa kuwa ndo muungano unavyokuwa ikiwa ni pamoja na kupoteza serikali ya Tanganyika. Akasema kuwa hata kiitifaki, utaratibu wa sasa unaofanywa na Znz si sahihi, lakini Wabara wako kimya tu.
"Hivi mnadhani sisi hatujui kuongea au ni kitu gani hasa?" alisema jana Bungeni.
Akatoa hoja kuwa, anadhani sasa ama Muungano uvunjwe, jambo ambalo hata yeye halipendi, ama iundwe serikali moja tu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mawazo haya yanashabihiana na mawazo ya G55, na hata leo Kasaka karejea maoni yao kuwa pengine sasa iundwe serikali moja tu, ili kumaliza choko choko.
Selelii akasema kuwa hata katiba ya nchi inaeleza wazi kuwa PM wa URT ndo mtendaji na kiongozi mkuu wa shughuli za URT. Katiba inaonyesha mipaka ya URT Zanzibar ikiwemo. Kwa msingi huu, Akaunga mkono kuwa ni wazenji ndo wanaotakiwa kumuomba radhi PInda na si Mwakyembe kuwaomba radhi wao.
Wote wawili wamesema kimantiki, katiba ya Zanzibar haiwezi kuwa juu ya katiba ya URT kwa sababu katiba ya Zanzibar imeundwa kwa katiba ya URT Ibara ya 102, inayotoa idhini ya kuundwa serikali ya zanzibar na katiba yake.
Sasa nadhani mjadala unaelekea kutamu. Ni dalili kuwa vuguvugu la muundo mwingine wa serikali linaibuka upya.
Mzee nipe sababu kubwa tatu kwanini Unguja na pemba sio mikoa, sio za kikatiba nataka.
Angalia idadi ya watu
Uchumi
Eneo
Asante
Lucas Selelii ni mwananchi na zaidi ya hapo ni mwakilishi wa wananchi bungeni na kwa hiyo ana kila haki ya kutoa maoni yake.Kama mbunge hawezi kutoa maoni yake nani ataweza?
Kusema "kila Mtanzania awe na msimamo wa Waziri Mkuu" ni collectivism ya hali ya juu, kama ni hivyo kwa nini tuna bunge basi? Si Waziri Mkuu angeamua mambo yote?
Kuna watu wanaoweza kupata courage ya kusema yasiyosemeka ambayo kila mtu anayajua, pointing out the proverbial elephant in the room, saying the emperor has no clothes while most praise his tailor.
Mr. Selelii is proving to be one of the last of this dying breed.
Pundit.. it reminds me of the the "conscience of one" ya maborg... !
Kweli wewe ni 'DARWIN' ngoja nikwambie,
The law (Constitution) that governing the present union between Tanganyika and Zanzibar is nearly equal to the law of natural selection 'the survival of the fittest' as was pioneered by 'Darwin' (hahahaaaaaaa!). What we see now is that, the people of zanzibar are not fit in the present union environment, if they want to fit therein, they should adhered to what the people of Tanganyika want them to do, for instance:
+ to recognize the URT PM
+ to acknowledged that waziri kiongozi has no voice in Tanzania mainland
+ to allow their oil to be shared
+ to be ready to receive only 3% of URT income
+ to agree that zanzibar is not a country but a mere region like Lindi
+ to allow MPs from Tanzania mainland to participate in Baraza la wawakilishi
+ to refrain from taking posts which are not belong to the union
Failure to fulfill the above requirements, the people of zanzibar will automatically be eliminated not only in the union but also possibly on the earth's surface since in absence of the union, separation between them will emerge, note that, separation is associated with war, and war means death, further, death means elimination of people from the earth's surface.
Anyway, though I started with jokes, on the other hand I was responding to the insulting language which 'Darwin' (above) had used to present his views. Indeed, the used language is unacceptable in this forum. We want this forum to be the forum of open- minded- people, people who can discuss and exchange ideas/views on matters pertaining to politcs, economies, social issues etc. Therefore, I would like to advise those who want to use such kind of language to register themselves in www.theutamu.blogspot.com. There, I hope, they can fit.
Zanzibar ningeshauri tuvunje muungano,Lakini kitu ambacho na % fulani muungano ukifa pia Zanzibar itakufa maana patatokea Nchi ya PEMBA na nchi ya Unguja.Huo ni mtazamo wangu tu.