Tyler Perry's Why Did I Get Married?
Movies za Tyler Perry zote nimeziona mpaka ile michezo ya kwenye majukwaa, na sasa ametoa movie nyingine kwa jina la Madeas Big Happy family.X-Paster, nice one for sure..Umeangalia Tyler Perry's Why did I get Married Too?? ni mwendelezo wa hiyo uliyoisema!!..
Movies za Tyler Perry zote nimeziona mpaka ile michezo ya kwenye majukwaa, na sasa ametoa movie nyingine kwa jina la Madeas Big Happy family.
Asha D, picha kama zipi ambazo unaona kuwa kachemsha!? For colored girls ninayo pia... It's good movie.X-P personally ni picha chache za Tyler Perry napenda (kwa ufupi za vichekesho naona hua anachemka/sina mana mbaya i know others wanazipenda) but zile ambazo yuko serious I like. Kuna movie inaitwa coloured girls ya 2010/09 nzuri saana.
Ah ah ah ah i like this character called Madia maana naye namfananisha kidogo na Big Mama, yule character wa kwenye Big Mama House.Hizo zooote za Madea sizipendi... Nyingine zoote I like kasoro why did I get married too (contrary to the first) - katika list yoote I can not say about I Can Do Bad All by Myself I have not watched it...
I Can Do Bad All By Myself
Character mkuu ni Taraji Penda Henson.