Must see Movies

Leo nilipata bahati ya kuiona movie hii. Pamoja na reviews nyingi nilizozisoma kutokuwa nzuri lakini nimeipenda na ni moja ya movies ambapo audience walipiga makofi mengi tu baada ya kuisha kuonyesha kuifurahia movie hii. Na kama trend niliyoina movie theatre leo hii ya watu wengi kutaka kuiona itakuwa katika majumba mengi ya sinema basi si ajabu ikachukua nafasi ya kwanza katika WBO. Kama nafasi inakuruhusu nenda kaione.
 
Last edited by a moderator:

'Karate Kid' Tops US Weekend Box Office

Updated: Sunday, 13 Jun 2010, 1:14 PM EDT
Published : Sunday, 13 Jun 2010, 1:14 PM EDT(NewsCore) - The remake of the 1984 film "The Karate Kid" finished first at the U.S. weekend box office, beating out the debut of "The A-Team," The Wall Street Journal's Speakeasy blog reported Sunday.
"The Karate Kid" (Sony/Columbia) which stars Jackie Chan and Jaden Smith, took in $56 million at the domestic box office, according to early estimates from Hollywood.com. Final figures are due out on Monday.
"The A-Team" (Fox), a big-screen adaptation of the action series that ran on TV from 1983-1987, finished at No. 2 with $26 million.
The 3D animated film "Shrek Forever After" (Paramount/DreamWorks) finished in third place, taking in $15.8 million.
Read more: Wall Street Journal
 
I can't wait for this, Michael Douglas is my fav.!..nimeona previous Wall Street movie, greed is good!! ha ha

Aisee BJ, hata SALT ni nzuri sana, mimi nimeipenda, kwa mara nyingine tena AJ kafanya vitu vyake. Suspense kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Tafuta muda ukaione.
 
No Strings Attached - Ashton Kutcher & Natalie Portman.

The King's Speech - Colin Firth et al...
 
BAK,

Ever watched INCEPTION?!..I felt nilikuwa part of the movie while watching, whaao power of Dreams:))))
 
BAK,

Ever watched INCEPTION?!..I felt nilikuwa part of the movie while watching, whaao power of Dreams:))))

Niliiyona mwaka jana and I had the same feeling....usikose kuiona The adjustment bureau trailer yake inaonyesha ni nzuri sana na reviews nilizosisoma hadi sasa ziko very positive.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom