Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Kala kona.....bado hujajibu swali GT...Je una aamini uwepo wa Mungu....GT hujajibu swali.....
Kala kona.....bado hujajibu swali GT...Je una aamini uwepo wa Mungu....GT hujajibu swali.....
Leo nitazungumzia jambo ambalo wengi wenu mmekuwa WANAFIKI na huwa mnajaribu kwa kila hali kulikwepa.
Nchi na serikali hazina dini lakini kwa nini Mungu anaimbwa kwenye nyimbo ya Taifa?
Najua kama watanzania wanayohaki ya kuwa na dini wanazotaka lakini hamuoni kama hii ni hatari kwa wale wasiamini Mungu?
Chukulia wewe ni mzazi na huamini mambo ya dini halafu unampeleka mwanao shule kule ataimbishwa nyimbo ya taifa wee mpaka anamaliza primary sasa hamuoni kama huku ni kumlazimisha mtu aamini jambo ambalo hakuna aliyethibitisha kama lipo? yaani hii ni doctrination mbaya sana ? Hlafu mnashangaa kwa nini hatuendelei
Nadhani its time tukabadili nyimbo ya taifa halafu hawa ma religious nutjobs wakikataaa tukaburuzane mahakamani
Sometimes we have to stand up for something badala ya kufuata mkumbo
Its really sad wanavyowadoctrinate watoto wadogo mashuleni kuwafanya waamini kitu ambacho no one has ever proved that it exist
nawasilisha hoja and yes i dare be different kwenye hili unless kuna mtu anahoja ya kuniconvince otherwise
Sio tu kwenye wimbo wa Taifa, Bungeni pia kila siku kabla kuanza porojo zao Spika anamtaja Mungu mara kadha; Viapo vyote IKULU kwa wateuliwa na Rais wanakwenda mbali zaidi kwa kushika Biblia/Qurani ingawa wakimaliza tu kuapa rushwa/ufisadi kama kawa; Mahakama zetu nazo unaapa kwa kumtaja Mungu; yaani hata ile kusema Taifa halina DINI ni porojo tu.
viongozi wa Tanzania = mafisadi
Does this imply that kwenye wimbo wa Taifa tunaimba Mungu awabariki mafisadi?
Ndio Mama. Tena hata huko makanisani/misikitini wanaombewa kwelikweli!
Imagine mwanao kila siku asubuhi kabla hajaenda darasani anaimbishwa nyimbo ya Taifa na kwa walio America its much worse kwani kule kuna hiyo pledge of allegiance. What a load nonsense!
Kwa sababu imagine Tanzania kuna makabalia au watu wangapi wasio na dini lakini kila kukicha wanaona serikali haiishi ku accomodate hawa ma religious nutjobs tulijikita kwenye idara mbali mbali za serikali
Iddi ikifika utaona watawala wanajipanga kula iddi na waislam kwa kutumia infrastructure za walipa kodi ambao kuna kundi kubwa tuu ambalo hawamwamini huyo Mungu
Ikifika Christmass ndio usisikie maana kuanzia TVT mpaka idara za serikali utashangaa kuona mapambo ya christmas bila kuangalia sensitivity za wasio wakristo
Sasa mtoto unapomwambia MUNGU WABARIKI VIONGIZI WAKE....etc hii ni mbaya sana kwa sababu tunaambiwa tuamini DOGMA this is really dangerous kwetu kama taifa
Personally haya mambo yaniboa sana.Nadhani its about time tukabadilisha nyimbo ya taifa na kutoa MUNGU kwa sababu sidhani kama huyo Mungu ananafasi kwenye kuendesha mambo ya kiserikali ambayo inakusanya kodi toka kwa watu wasio na dini
Mungu wangu, is it possible kubadilisha wimbo wa taifa, kubadilisha viongozi is plan b katika kulinda heshima ya Mungu. Je na hao viongozi m-badala watakuwa wanafanya yanayowapasa kama viongozi hadi waombewe kwa Mungu au ndio yaleyale..... kama sio ufisadi, basi ukandamizaji etc.
Ungesema baadhi ya shule ziache kulazimisha watoto kufuata matakwa ya shule fulani fulani kwa sababu ya umiliki wake hapo tungekuelewa.
Hata hii nayo haijakaa vema sana.
Hivi,wakati tunapeleka watoto wetu shule za kikristo ilhali watoto ni waislamu,tunatarajia nini?
Na usinidanganye kwamba,tunakuwa hatufahamu hili kwani shule nyingi hutoa requirements,na kwa kukubali kupeleka watoto pale inaonyesha kukubaliana na requirements za shule hizo.
Sisi wazazi ndio tunaowaweka watoto wetu in those positions...mostly kwa mapenzi mema.
Hii yote ni shibe tu kwa kuwa mmeshiba ndio mna muda wa kubishana kwenye mambo haya.
The bottom line it doesnt make any difference kama utamtaja/muamini Mungu au laa.
Mkishamaliza kwanini tunavaa nguo wakati kuna "naturalist" hawaamini mambo ya kuvaa nguo vipi nao haki zao? we can go on gay marriage etc
Goodluck!
X-Paster, Mtindio, Maxishimba, et al. naona wameamua kukaa pembeni....
Wanataka mapinduzi na mapinduzi hawayawezi
KUweka huu mfano kuna distort the argument, hakuonyeshi in any way that the two are equal.
This heavy dose of regular -if not daily- calculated Juche-like indoctrination, especially during the formative years of childhood, can take a deeprooted seat in the subconscious that any type of rational reasoning in the future may find irreedimably lost.
It is for this reason we must fight to rid our schools and all public places of any utterances that may promote these mythological tribal rituals, tribal rituals that are not even our own might I add.