Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Wimbo wa Taifa umetoka kwenye kitabu kinachoitwa "sala ndogo za kanisa" kitabu cha kikatoliki kwenye ukurasa wake wa 22 na ndio kitabu kilichotoa sala ya bunge. Sasa hapo haihitaji degree kujua Mungu alyetajwa kwenye wimbo wa Taifa ni wakiislamu au kikristo!
enhe, subiri hapohapo,
Hii sehemu ya mwisho, niliyoibold ni nyeti sana.. sasa naomba uwaambie wasilamu wenzako kuhusu huu wahyi mpya.. maana wahyi huu mpya ni muhimu sana kwa ndg zako wasilamu.
Takbir..