Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?

Hii yote ni shibe tu kwa kuwa mmeshiba ndio mna muda wa kubishana kwenye mambo haya.

The bottom line it doesnt make any difference kama utamtaja/muamini Mungu au laa.

Mkishamaliza kwanini tunavaa nguo wakati kuna "naturalist" hawaamini mambo ya kuvaa nguo vipi nao haki zao? we can go on gay marriage etc

Goodluck!
 
mwenye katiba ailete hapa we have issues to look in

je kama unamwanao umemkataza asiimbe nyimbo ya Taifa kutakuwa na kosa la kushitakiwa?

je mtu ukigoma kusimama wakati nyimbo ya tfa inambwa kuna kosa?

what about rights za wasio na dini?

kaka hujanipatia Nchi ambayo ina wimbo wa Taifa usiotaja Mungu.

Jeshi La Tanzania lisilokuwa na Dini lakini viapo vyao vinaishia "Mungu tusaidie"
 
Pundit, I am a living proof that GOD does exist, so are you and all that is around us. The Bible is not just a book, it is "THE BOOK", it has answers to everything, God left out scientific theories out of it for us to figure them out, but the devil is using our knowledge of such theories to make us question the existence of the most high. MUNGU YUPO JAMANI, TENA ANAJIBU NA MAOMBI YETU KWA WAKATI WAKE..... NIMESHUHUDIA HAYA
 
Mmmmm...wewe nawe angalia....usije ukawa kichekesho bure....
 
Kichekesho mimi standing by my faith au wewe, Nyani don't get me started with you. Your aviatar or whatever that is says alot in itself
 
Pundit, I am a living proof that GOD does exist, so are you and all that is around us. The Bible is not just a book, it is "THE BOOK", it has answers to everything, God left out scientific theories out of it for us to figure them out, but the devil is using our knowledge of such theories to make us question the existence of the most high. MUNGU YUPO JAMANI, TENA ANAJIBU NA MAOMBI YETU KWA WAKATI WAKE..... NIMESHUHUDIA HAYA

Kama mambo ni hivyo, kujibu maombi "kwa wakati wake". Hata mimi naweza kujibu maombi yako "kwa wakati wangu"

Meaning, unaweza kuniomba a million dollars nikakwambia subiri, nitakupa nikizipata, then nikachukua a lifetime kutimiza, au nisitimize kwa sababu wakati wangu haujafika.Does that make me god?
 
Pundit, no that definately does not make you God, it might make you a god though for some people, me excluded. What I am trying to say is God operates in mysterious ways. Toa huo ukungu uliojiwekea machoni utaona tu uwepo wake. In the meantime I will pray that you see God in yourself and in others
 
Kama God operates in myserious ways, how do you know that god did not decide to log in JF as Pundit. That would just be one of his mysterious ways, wouldn't it now?

C'mon, I mean you will make any rule and bend it just to say there is a big daddy who stay up in the sky and watch all over us and record who is the good kid and who is the bad one?

That may work with 5 year olds and adults who want to be like them, but not me.
 
Leo nitazungumzia jambo ambalo wengi wenu mmekuwa WANAFIKI na huwa mnajaribu kwa kila hali kulikwepa.

Nchi na serikali hazina dini lakini kwa nini Mungu anaimbwa kwenye nyimbo ya Taifa?

Najua kama watanzania wanayohaki ya kuwa na dini wanazotaka lakini hamuoni kama hii ni hatari kwa wale wasiamini Mungu?

Chukulia wewe ni mzazi na huamini mambo ya dini halafu unampeleka mwanao shule kule ataimbishwa nyimbo ya taifa wee mpaka anamaliza primary sasa hamuoni kama huku ni kumlazimisha mtu aamini jambo ambalo hakuna aliyethibitisha kama lipo? yaani hii ni doctrination mbaya sana ? Hlafu mnashangaa kwa nini hatuendelei

Nadhani its time tukabadili nyimbo ya taifa halafu hawa ma religious nutjobs wakikataaa tukaburuzane mahakamani

Sometimes we have to stand up for something badala ya kufuata mkumbo

Its really sad wanavyowadoctrinate watoto wadogo mashuleni kuwafanya waamini kitu ambacho no one has ever proved that it exist

nawasilisha hoja and yes i dare be different kwenye hili unless kuna mtu anahoja ya kuniconvince otherwise

Nani kakuambia Serikali haina dini?we unaamini hivyo?huhitaji kuwa na degree kujua kama Serikali ina dini au laa. Nitakupa hints zitakazo kufahamisha kuwa Serikali ina Dini au laa.

Zungumzia kurudishwa Mahakama ya Kadhi wenye Serikali yao hawatakuelewa!Utaona mijadala hapa kana kwamba hilo jambo ni geni kumbe lilikuwapo tangu enzi za utawala wa mjerumani na ni serikali ya Mjerumani ndio iliyoianzisha hiyo Mahakama!Na Serikali ya Tanganyika kuifuta miaka ya mwanzo wa uhuru.

Pili December inaingia karibuni kwenye mwezi huo kuna ile sikukuu ya "kuzaliwa kwa Bwana Yesu" ingia kwenye ofisi za walipa kodi "umma" ujionee madecoration ya christmass trees na makadi ya maelfu ya mapesa ya walipa kodi Waisilam,Wakristu na Wapagani yanavyofujwa bila idhini yao! Sijui sheria gani hutumika kununua mapambo yale?hiyo hudhani kuwa ni kuwalazimisha watu kuchangia kodi kwa maendeleo yao kinyume zinatumika kununua christmass trees? Hao ndio wenye Serikali yao ngoja uone watakavyonijibu kwa jazba!
 
well said, if it were so, it just goes to prove his existence doesn't it? In the meantime, me and my 5yr old's like belief will continue praying for you
 
One down 6 to go!

typical cowardice shared by you so called religious folks who get emotional and irrational because someone has challenged somethin you've been brainwashed into believing with absolutely no proof other than wtf your own mind manifests.

Ha ha ha and in your right mind if we remove "Mungu" from our national anthem then the development will come just like that!!!!? :confused: What about ufisadi? LOL! Kazi kweli kweli!!!!!
 
well said, if it were so, it just goes to prove his existence doesn't it? In the meantime, me and my 5yr old's like belief will continue praying for you

To the contrary, it exposes holes in a theory propounded for gods existence.

Don't make me critique the existence of the personal god of the Judeo-Christian brand by way of the contradiction of his perfect knowledge and human freewill now.
 
Ha ha ha and in your right mind if we remove "Mungu" from our national anthem then the development will come just like that!!!!? :confused: What about ufisadi? LOL! Kazi kweli kweli!!!!!

Bubu,

Ukiangalia sana root ya ufisadi bongo inaendana sambamba na "respect for authority". Rais anachemka watu wanashindwa kumsema, wanaishia kuteta na kusema in code words "rais kashauriwa vibaya" and such nonsense.

Tukiondoa this unhealthy respect for authorities, tutamukweka kila kitu kuwa accounted for, kuanzia rais mpaka mungu. Na hapo ndipo tutakapoona uongo uko wapi.

Huwezi kumkandia Kikwete na ufisadi hapa kila siku wakati ufisadi mkubwa kuliko wote duniani ni kuwadanganya watu kuwa kuna mungu, na kuwatisha na kuwatiisha kwa hila za kisaikolojia.

Ukiweza kujua sehemu ya dini katika historia ya oppression utasikitika sana.
 
Hii yote ni shibe tu kwa kuwa mmeshiba ndio mna muda wa kubishana kwenye mambo haya.

The bottom line it doesnt make any difference kama utamtaja/muamini Mungu au laa.

Mkishamaliza kwanini tunavaa nguo wakati kuna "naturalist" hawaamini mambo ya kuvaa nguo vipi nao haki zao? we can go on gay marriage etc

Goodluck!

Masatu, btw hivi ni shibe ipi hiyo unayoongelea?!
 
Nation retardation comes pale utakapoona wizara inatumia bajeti ya zaidi ya laki 5 kununua mapambo ya Christmas.?

Ahaaa!
Now you are talking.Spending...on ''not so public'' holidays.
But not the singing crap....not that I really care about kids singing it or not.
 
Ahaaa!
Now you are talking.Spending...on ''not so public'' holidays.
But not the singing crap....not that I really care about kids singing it or not.

This heavy dose of regular -if not daily- calculated Juche-like indoctrination, especially during the formative years of childhood, can take a deeprooted seat in the subconscious that any type of rational reasoning in the future may find irreedimably lost.

It is for this reason we must fight to rid our schools and all public places of any utterances that may promote these mythological tribal rituals, tribal rituals that are not even our own might I add.
 
...thelema...
 
Back
Top Bottom