Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Uzuri wa ule wimbo haujataja ni Mungu yupi akanakusidiwa....kutokumuabudu Mungu na kuabudu sayansi,miti,chupa......ni Mungu pia......angatajwa Mungu wa Iringa,Makka,kilosa hapo sasa kungekuwa na maswali...'nadhani' wasomwamini Mungu wana 'the right of remaining silent' pale yanapotamkwa maneno "mungu ibariki..." kwenye wimbo wa Taifa.