Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 753
eeeh hiki kisanga mheshimiwa Buchaman aje atoe ushauri hapa ni ngumu lakini duh
Masaki una la kusema ?
Hapana, nimeshasema NO COMMENT!
eeeh hiki kisanga mheshimiwa Buchaman aje atoe ushauri hapa ni ngumu lakini duh
Masaki una la kusema ?
sawa, vidole mali yako we type tu unavyojisikia...Naanza kufikiri kuwa Masaki ndo serengeti boy wako!! na hataki FL1 ajue.
Maneno matau = Masaki
Usiri =Masaki
Kutopenda pasua kichwa =Masaki (hapo anagonga tu, hakuna shoping wala nn)
Bado anamendea wakina FL1 na wengine =Masaki.
:. Serengeti boy wa Pape = Masaki.
...................where we dare to talk openly and think differently!sawa, vidole mali yako we type tu unavyojisikia...
Mlete mmeo hapa nae atoe story yake
Utakuta na yy ulimchosha vile vile akaamua kusepa mdogo mdogo!!
unaweza kuongea lkn kuna mipaka yake...
sasa mipaka ulikuwa unataka iwe kwenye nn?sawa, acheni watu wachangie...
Kwa hiyo ni JINO kwa JINO.. Mwisho wake ni wote kuleta kaugonjwa ndani.. Nakushauri achana na huyo Mtu.. mvumilie mumeo.. siku moja atajirudi.. Na inawezekana wewe ndio ulikuwa chanzo cha yeye kwenda nje..