Mumewangu ndio chanzo cha mimi kuwa na uhusiano nnje ya ndoa!

Naanza kufikiri kuwa Masaki ndo serengeti boy wako!! na hataki FL1 ajue.

Maneno matau = Masaki
Usiri =Masaki
Kutopenda pasua kichwa =Masaki (hapo anagonga tu, hakuna shoping wala nn)
Bado anamendea wakina FL1 na wengine =Masaki.

:. Serengeti boy wa Pape = Masaki.
 
Naanza kufikiri kuwa Masaki ndo serengeti boy wako!! na hataki FL1 ajue.

Maneno matau = Masaki
Usiri =Masaki
Kutopenda pasua kichwa =Masaki (hapo anagonga tu, hakuna shoping wala nn)
Bado anamendea wakina FL1 na wengine =Masaki.

:. Serengeti boy wa Pape = Masaki.
sawa, vidole mali yako we type tu unavyojisikia...
 
Mlete mmeo hapa nae atoe story yake
Utakuta na yy ulimchosha vile vile akaamua kusepa mdogo mdogo!!

Ni kweli kabisa mdau hebu fuatilia kisa fuatacho;

baada ya miaka 5 ya ndoa mke alianza kupunguza ratiba ya kumegana na husby wake; toka karibu mara 4 kwa wiki mpaka mara 1 kwa mwezi; na bahati mbaya zaidi mwanaume alikuwa kishazoeshwa kumega kwa style zote; lakini safari hii baada ya ratiba kupunguzwa hata style ikawa ni ile moja tu; ambayo mke kaitaka na mume akitaka kupiga kwa style tofauti mke anakuja mbogo na wakati mwingine hata kukatisha zoezi zima la kumegana kwa madai kuwa mwenzie amemuondolea mood!

mume kwa kumpenda mkewe alivumilia huku akiplead na wakati mwingine inamlazimu kufanya booking ya kumegana! Adha ilendelea na masharti mengi kuongezeka karibu kwwa mwaka mzima! mara aambiwe kichwa mara aambiwe hunda kesho nitaanza kubridi ilimradi sasa ikafika miezi 4 mume hajapewa haki yake!

Mume uvumilivu ulimshinda na shetani akamnasa akaaamua kutafuta pumziko la pembeni huku akitumai na kumwomba mungu isijulikane kwa mkewe na pia akidhani ni suala la muda ; Hamadi nyumba ndogo ikamkolea na mawasiliano yakazidishwa kufikia ya hatua ya mke kung'amua kinachoendelea na ndipo akakusanya ushahidi na kumkabili baba chanja; Mume hakuona sababu ya kuficha lijieleza na kuomba msamaha mara moja kwa kosa lake na pia alimwomba mke arudishe hali iliyokuwepo siku za nyuma kabala ya mambo kuharibika!

Akaapa kuwa hatorudia kumtenda mweziwe! mke akatangaza msamaha lakini kumbe moyoni akaweka kisasi na akjitahidi kidogo kumrudishia furaha jamaa kwa ku resume ratiba ya kumegana; kumbe alikuwa ana lake jambo!

Miezi mitano ikapita siku moja mume alisafiri nje ya mji amabko asingetazamiwa kurudi siku hiyo hiyo; lakini Mungu mkubwa jamaa alirudi ghafla wala moyoni hakuwa na nia ya kufumania ispokuwa mabo aliyoyaendea huko hayakumnyookea na hakuona kwa nini apoteze gharama kwa kuendelea kubaki na ndipo aliporudi nyumbani usiku wa manane na kukutana na tukio lilimshtua; mkewe alikuwa alikuwa amemleta serengeti bboy wake toka mji mwingine amabko naye hupenda kusafiria! Mke hakuwa na ujanja zaidi ya kumfungulia mume ambaye alikikaba kiserengeti boi cha watu na kukipiga mkwara mzito na vibao vya hapa na pale; mwisho wa yote alikiachia kijiendee kwani hakuona kosa la hicho kivulana; Mke kuulizwa akasema kuwa alifanya hivyo naye akiwa analipa kisasi kwa aliyofanyiwa miezi 5 nyuma!

Hivyo ndivyo Pape ulivyofanya!

Umetia chumvi kwenye kidonda subiri maumivu!
 
Kwa nini msitalikiane kabisa ili kila mtu awe huru kweli kweli?

What is this "Keeping up appearances" business?
 
Kwa hiyo ni JINO kwa JINO.. Mwisho wake ni wote kuleta kaugonjwa ndani.. Nakushauri achana na huyo Mtu.. mvumilie mumeo.. siku moja atajirudi.. Na inawezekana wewe ndio ulikuwa chanzo cha yeye kwenda nje..

Na asiporudi?
 
Back
Top Bottom