MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,228
- 2,423
Nimependa Avatar yako, Duuh hicho kitambiiiiiiii !!!!!!!!!!
Aaah jamani hiki kitambi changu mbona kinasimangwa sana, na hivi kimeenda mpaka mgongoni mbona nitakoma! kimekaa vibaya eee...!, na jinsi nilivyo mvivu wa mazoezi sijui kitaishaje sasa