Mume Wangu Ametishia Kuniua, Sababu, Urafiki na Mzungu na Kutembelea U-turn

Nimependa Avatar yako, Duuh hicho kitambiiiiiiii !!!!!!!!!!

Aaah jamani hiki kitambi changu mbona kinasimangwa sana, na hivi kimeenda mpaka mgongoni mbona nitakoma! kimekaa vibaya eee...!, na jinsi nilivyo mvivu wa mazoezi sijui kitaishaje sasa
 
mimi ni mshabiki wa blogu ya u-turn, ila mume wangu kwa muda wa miezi minne sasa amekuwa na kisirani kweli heti, kisa mimi kuitembelea hiyo tovuti ya uturn. sababu zake ni kwamba nina ujeuri. basi kuna rafiki yangu mmoja ambaye ameolewa na mzungu aliniita nyumbani kwake. shemeji yake ambaye pia ni mzungu alikuwepo hapo. tukapata vinywaji kidogo, na kubadirishana namba za simu na huyu shemeji yake. mara kadhaa tumewasiriana kama marafiki tu, mume wangu akatokea kuona text moja niliyotumiwa na huyu mzungu mabayo ilikuwa tu ni knijulia hali, matokeo yake kaja juu na kunipiga sana. Alinifukuza kwa siku 4, pia ananitishia kuniua iwapo sitasitisha mawasiliano na huyu mzungu pamoja na kuacha mara moja kutembelea blogu ya uturn. Hataki hata urafiki wangu na yeyote ambaye ana uhusiano na huyo dada mwenye blog ya u-turn. Anasema heti nikiendelea kutokumsikiliza ataniua na huyu mzungu, wakati mzungu wa watu hana hatia yoyote? Jmani huu si ni ubaguzi wa rangi? kwa nini anifukuze au kuniua, kisa urafiki na mtu wa rangi tofauti, hii kweli ni haki? mm urafiki na mzungu siachi, na uturn siondoki, huu ni unyanyasaji wa kijinsia

Sasa umeyaleta huku ili iweje?Too low.
 
We bint ni mshenzi filauni niwa wasiwa watasha wengi wanapenda kula ndogo we ushatafunwa ndiyo maana unasema huachi! Kwataarifa ya jf hatuumizi vichwa vyetu kwaajili yako! Hata mm nitakutafuta ilinikutafune we limbukeni
 
mimi ni mshabiki wa blogu ya u-turn, ila mume wangu kwa muda wa miezi minne sasa amekuwa na kisirani kweli heti, kisa mimi kuitembelea hiyo tovuti ya uturn. Sababu zake ni kwamba nina ujeuri. Basi kuna rafiki yangu mmoja ambaye ameolewa na mzungu aliniita nyumbani kwake. Shemeji yake ambaye pia ni mzungu alikuwepo hapo. Tukapata vinywaji kidogo, na kubadirishana namba za simu na huyu shemeji yake. Mara kadhaa tumewasiriana kama marafiki tu, mume wangu akatokea kuona text moja niliyotumiwa na huyu mzungu mabayo ilikuwa tu ni knijulia hali, matokeo yake kaja juu na kunipiga sana. Alinifukuza kwa siku 4, pia ananitishia kuniua iwapo sitasitisha mawasiliano na huyu mzungu pamoja na kuacha mara moja kutembelea blogu ya uturn. Hataki hata urafiki wangu na yeyote ambaye ana uhusiano na huyo dada mwenye blog ya u-turn. Anasema heti nikiendelea kutokumsikiliza ataniua na huyu mzungu, wakati mzungu wa watu hana hatia yoyote? Jmani huu si ni ubaguzi wa rangi? Kwa nini anifukuze au kuniua, kisa urafiki na mtu wa rangi tofauti, hii kweli ni haki? Mm urafiki na mzungu siachi, na uturn siondoki, huu ni unyanyasaji wa kijinsia

mavi yako wewe,toa ujinga hapa.
 
PHP:
mimi ni mshabiki wa blogu ya u-turn, ila mume wangu kwa muda wa miezi  minne sasa amekuwa na kisirani kweli heti, kisa mimi kuitembelea hiyo  tovuti ya uturn. sababu zake ni kwamba nina ujeuri. basi kuna rafiki  yangu mmoja ambaye ameolewa na mzungu aliniita nyumbani kwake. shemeji  yake ambaye pia ni mzungu alikuwepo hapo. tukapata vinywaji kidogo, na  kubadirishana namba za simu na huyu shemeji yake. mara kadhaa  tumewasiriana kama marafiki tu, mume wangu akatokea kuona text moja  niliyotumiwa na huyu mzungu mabayo ilikuwa tu ni knijulia hali, matokeo  yake kaja juu na kunipiga sana. Alinifukuza kwa siku 4, pia ananitishia  kuniua iwapo sitasitisha mawasiliano na huyu mzungu pamoja na kuacha  mara moja kutembelea blogu ya uturn. Hataki hata urafiki wangu na yeyote  ambaye ana uhusiano na huyo dada mwenye blog ya u-turn. Anasema heti  nikiendelea kutokumsikiliza ataniua na huyu mzungu, wakati mzungu wa  watu hana hatia yoyote? Jmani huu si ni ubaguzi wa rangi? kwa nini  anifukuze au kuniua, kisa urafiki na mtu wa rangi tofauti, hii kweli ni  haki? mm urafiki na mzungu siachi, na uturn siondoki, huu ni unyanyasaji  wa kijinsia

Nionavyo......the man suffers from inadequacy, inferiority complex................................and he is insecure..........................watchout gal................................your life could be in serious jeopardy...............................
 
PHP:
mavi yako wewe,toa ujinga hapa.

looks too personal. now..........................................for one to bellow such a halitosis..............
 
sasa wewe mpaka leo haujielewi kama unataka hazbendi , rafiki mzungu au globu ya U turn?, tunaomba bethi setifiketi yako pliz

Klorokwini umenichekesha sina mbavu ila umemwambia ukweli maana hata mimi nadhani ni mtoto hajakua. Ameshindwa kuchagua kati ya Husband,Uturn B log na mzungu makubwa!!!!! harakisha birth certificate yako hapa dada
 
mimi ni mshabiki wa blogu ya u-turn, ila mume wangu kwa muda wa miezi minne sasa amekuwa na kisirani kweli heti, kisa mimi kuitembelea hiyo tovuti ya uturn. sababu zake ni kwamba nina ujeuri. basi kuna rafiki yangu mmoja ambaye ameolewa na mzungu aliniita nyumbani kwake. shemeji yake ambaye pia ni mzungu alikuwepo hapo. tukapata vinywaji kidogo, na kubadirishana namba za simu na huyu shemeji yake. mara kadhaa tumewasiriana kama marafiki tu, mume wangu akatokea kuona text moja niliyotumiwa na huyu mzungu mabayo ilikuwa tu ni knijulia hali, matokeo yake kaja juu na kunipiga sana. Alinifukuza kwa siku 4, pia ananitishia kuniua iwapo sitasitisha mawasiliano na huyu mzungu pamoja na kuacha mara moja kutembelea blogu ya uturn. Hataki hata urafiki wangu na yeyote ambaye ana uhusiano na huyo dada mwenye blog ya u-turn. Anasema heti nikiendelea kutokumsikiliza ataniua na huyu mzungu, wakati mzungu wa watu hana hatia yoyote? Jmani huu si ni ubaguzi wa rangi? kwa nini anifukuze au kuniua, kisa urafiki na mtu wa rangi tofauti, hii kweli ni haki? mm urafiki na mzungu siachi, na uturn siondoki, huu ni unyanyasaji wa kijinsia

Wapendwa msihangaike sana ebu angalieni jina lake?????.....haya ndio mapepo yenyewe

Thanks mpendwa kwa kutuonesha upuuzi wake,
 
We bint ni mshenzi filauni niwa wasiwa watasha wengi wanapenda kula ndogo we ushatafunwa ndiyo maana unasema huachi! Kwataarifa ya jf hatuumizi vichwa vyetu kwaajili yako! Hata mm nitakutafuta ilinikutafune we limbukeni

Kumbe Gaya wewe
 
Kwa hiyo unatueleza, unatutambishia huyo mzungu au unataka nini, manaake majibu yote umemalizia hapo chini, bwana eeh kama hujui thamani ya ndoa yako unashobokea mzungu utajibeba, au kua rafiki na mange its big dili we nae michosho tu, ngoja nivutae zangu usingizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom