Mume 'ameamua' kuwa na mtoto 'nje ya ndoa'!!!

Hapa unatakiwa ushauri wa 'kukaua' hako katoto? Au jinsi mke ataishi na mme mwenye mtoto wa nje?? Au anataka kuachia ngazi?
 
Saafi sana kiongozi - mtoto ni mtoto - hakuna mtoto wa nje!

Na mwanamke akileta wake? Linda tueleze why miaka yote hiyo walikuwa na mtoto mmoja? ni problems au? na lazima huyo mume aeleze why kaamua kuzaa nje bila kushirikisha mke wake..
 
That why we say all men are pigs, hata umwoshe bado atarudi kwa tope , cant be supprised to find out that the second woman is below the status of the first one, most likely a house maid!:angry:
 
najisikia vibaya hata kuichangia; hii stori inataka kufanana na mazingira yangu halisi!

Pole sana mama; uwe na moyo mkuu; na ikibidi dont count those 25 yrs since mume didn't bother to think like you; be ready to move on with or without him
 
Wanawake wanaonewa sana! Pole sana Linda, Ila makwazo hayana budi kuja.

Yani kama dustbin flani hivi. Poor us! Ila Linda, sidhani kama anayomajibu ya kukuridhisha, be ready to be with him or without!
 
ndio mana nisemaga ctapokea mtoto chini ya umri wa wanangu, wa mr wa ujana wake nilienae ananitosha kabisa,chini ya umri wa wanangu waleane huko bila mie kushirikishwa kwa lolote, mtoto ana miaka 23 unakaribia kupata mjukuu then unazaa nje, na kama alikuwa anahitaji lakini mama hakupata/shika mimba hayo ni mambo ya mungu solution sio kuzaa nje....wanawake tuna kazi kubwa na hizi ndoa.

lakini msiombe yawakute! kuna huyu aliekuja kujitokeza hapa katikati walahi natamni akue haraka nimchukue maana mama yake ndo katufanya ATM sasa mtoto haishi kuumwa kila wiki, bado bill ya maziwa uji wa lishe nami nilishajiwekea malengo sitaki mttoto wa nje!
 
pole Mom, sasa na wewe unashirikishwa kwenye hiyo ATM?..hapa mie itakuwa pesa ya matumizi na makorokoro mengine anayoitoa sasa hivi icpungue hata kidogo, anitimizie mie then akalee huko, ctaki kushirikishwa kwa namna moja au nyingine kwenye starehe zake ambazo alizifanya kwa nia zake mwenyewe, sasa hapo huyo mwanamke mwenzetu atakuachia huyo mtoto kweli na yeye kashamfanya mtaji?....wanawake tunakomeshwa kweli.
 
Jamani dear, unapopenda boga penda na ua lake jamani.
 
sishirikishwi direct kwenye hiyo atm lakini ni pato la familia linatumika wakati mwingine natamani kumnyima lakini sasa je kama ni ukweli mtoto anaumwa c atakosa huduma bure ila real inabore sana! wanaume cjui lini watakua na akili katika hili. unajua ukishaletewa mtoto hata ukimwi pia unakaribisha maana it means hakuna kinga hapo!
 
nimeshapenda honey, tena napenda sana tu, nina mtoto wa mr wa ujana wake, ukichanganya na hao wawili wananitosha kabisa wanangu watatu, chini ya huyu wa kwangu wa mwisho ctamtambua kabisaa.
 
sishirikishwi direct kwenye hiyo atm lakini ni pato la familia linatumika wakati mwingine natamani kumnyima lakini sasa je kama ni ukweli mtoto anaumwa c atakosa huduma bure ila real inabore sana! wanaume cjui lini watakua na akili katika hili. unajua ukishaletewa mtoto hata ukimwi pia unakaribisha maana it means hakuna kinga hapo!
Labda walipima kabla hawajamegana? Hapa hatujadili Ukimwi mama, tunajadili mtoto.... OK?

Tuendelee.
 
exactly mom, hawatunei huruma kabisa hawa watu, hapo kwenye pato ni kweli mom litatumika tu kwa namna moja au nyingine ili mradi huyo mtoto kashazaliwa, lakini mie atumie tu lakini fungu la wanagnu licpungue.....
 
Labda walipima kabla hawajamegana? Hapa hatujadili Ukimwi mama, tunajadili mtoto.... OK?

Tuendelee.
ok hatuzungumziii lakini upo! mbona umekua mkali unauogopa? kadri mnavyoleta watoto wa nje nao unakuja nyuma!
 
lakini msiombe yawakute! kuna huyu aliekuja kujitokeza hapa katikati walahi natamni akue haraka nimchukue maana mama yake ndo katufanya ATM sasa mtoto haishi kuumwa kila wiki, bado bill ya maziwa uji wa lishe nami nilishajiwekea malengo sitaki mttoto wa nje!

Pole sana na Hongera sana kwa uvumilivu wako na "kukubali" kuwa mtoto ni mtoto - Nimependa hapo bolded. Mungu akubariki
 
Labda walipima kabla hawajamegana? Hapa hatujadili Ukimwi mama, tunajadili mtoto.... OK?

Tuendelee.

honey unaona majibu yako eeehh, yani unajali mtoto tukianza umwa nani atawaangalia hao watoto?....mna cha kupima huko nje nyie, mnaonja mwisho mnasema kondom imebibana/inawasha/nimeshakuamini jamani dia mwezi tupo pamoja" mnafanya kavu...ndio mana nikikufumania nitaharibu kabisa, magonjwa ya wazi ya kuniletea ndani nitapambana na wewe.
 
Pole sana na Hongera sana kwa uvumilivu wako na "kukubali" kuwa mtoto ni mtoto - Nimependa hapo bolded. Mungu akubariki

hata nikimwacha si bado ni mdogo wa wanangu? haisadii bora tu kuhakikisha nae anapata matunzo ila haipendezi hata kidogo kuleta watoto nje ya wale tuliopanga kua nao.
 
Back
Top Bottom