Saafi sana kiongozi - mtoto ni mtoto - hakuna mtoto wa nje!
Wanawake wanaonewa sana! Pole sana Linda, Ila makwazo hayana budi kuja.
ndio mana nisemaga ctapokea mtoto chini ya umri wa wanangu, wa mr wa ujana wake nilienae ananitosha kabisa,chini ya umri wa wanangu waleane huko bila mie kushirikishwa kwa lolote, mtoto ana miaka 23 unakaribia kupata mjukuu then unazaa nje, na kama alikuwa anahitaji lakini mama hakupata/shika mimba hayo ni mambo ya mungu solution sio kuzaa nje....wanawake tuna kazi kubwa na hizi ndoa.
lakini msiombe yawakute! kuna huyu aliekuja kujitokeza hapa katikati walahi natamni akue haraka nimchukue maana mama yake ndo katufanya ATM sasa mtoto haishi kuumwa kila wiki, bado bill ya maziwa uji wa lishe nami nilishajiwekea malengo sitaki mttoto wa nje!
Jamani dear, unapopenda boga penda na ua lake jamani.pole Mom, sasa na wewe unashirikishwa kwenye hiyo ATM?..hapa mie itakuwa pesa ya matumizi na makorokoro mengine anayoitoa sasa hivi icpungue hata kidogo, anitimizie mie then akalee huko, ctaki kushirikishwa kwa namna moja au nyingine kwenye starehe zake ambazo alizifanya kwa nia zake mwenyewe, sasa hapo huyo mwanamke mwenzetu atakuachia huyo mtoto kweli na yeye kashamfanya mtaji?....wanawake tunakomeshwa kweli.
pole Mom, sasa na wewe unashirikishwa kwenye hiyo ATM?..hapa mie itakuwa pesa ya matumizi na makorokoro mengine anayoitoa sasa hivi icpungue hata kidogo, anitimizie mie then akalee huko, ctaki kushirikishwa kwa namna moja au nyingine kwenye starehe zake ambazo alizifanya kwa nia zake mwenyewe, sasa hapo huyo mwanamke mwenzetu atakuachia huyo mtoto kweli na yeye kashamfanya mtaji?....wanawake tunakomeshwa kweli.
Jamani dear, unapopenda boga penda na ua lake jamani.
nyie hapo juu mmeoa?
Jamani dear, unapopenda boga penda na ua lake jamani.
Labda walipima kabla hawajamegana? Hapa hatujadili Ukimwi mama, tunajadili mtoto.... OK?sishirikishwi direct kwenye hiyo atm lakini ni pato la familia linatumika wakati mwingine natamani kumnyima lakini sasa je kama ni ukweli mtoto anaumwa c atakosa huduma bure ila real inabore sana! wanaume cjui lini watakua na akili katika hili. unajua ukishaletewa mtoto hata ukimwi pia unakaribisha maana it means hakuna kinga hapo!
sishirikishwi direct kwenye hiyo atm lakini ni pato la familia linatumika wakati mwingine natamani kumnyima lakini sasa je kama ni ukweli mtoto anaumwa c atakosa huduma bure ila real inabore sana! wanaume cjui lini watakua na akili katika hili. unajua ukishaletewa mtoto hata ukimwi pia unakaribisha maana it means hakuna kinga hapo!
ok hatuzungumziii lakini upo! mbona umekua mkali unauogopa? kadri mnavyoleta watoto wa nje nao unakuja nyuma!Labda walipima kabla hawajamegana? Hapa hatujadili Ukimwi mama, tunajadili mtoto.... OK?
Tuendelee.
lakini msiombe yawakute! kuna huyu aliekuja kujitokeza hapa katikati walahi natamni akue haraka nimchukue maana mama yake ndo katufanya ATM sasa mtoto haishi kuumwa kila wiki, bado bill ya maziwa uji wa lishe nami nilishajiwekea malengo sitaki mttoto wa nje!
Labda walipima kabla hawajamegana? Hapa hatujadili Ukimwi mama, tunajadili mtoto.... OK?
Tuendelee.
Labda walipima kabla hawajamegana? Hapa hatujadili Ukimwi mama, tunajadili mtoto.... OK?
Tuendelee.
Pole sana na Hongera sana kwa uvumilivu wako na "kukubali" kuwa mtoto ni mtoto - Nimependa hapo bolded. Mungu akubariki