Mume 'ameamua' kuwa na mtoto 'nje ya ndoa'!!!

cjakubadilisha mawazo mom, mana chriss akija humu atanishambulia haswaaa.
hunibadilishi best, to me soln ni kumchukua huyo mtoto bado cjachange. lakini naheshimu mawazo yako pia. cjui kwann wanaume hawaamki maana hawa watoto wa nje ni rahisi hata kusingiziwa mradi kaona we unajua kuzitoa!
 
Wanaume tunajiendekeza kwanini uharibu ndoa/familia yako ya robo karne?
We piga nje kwa akili sio unabanwa afu visingizio vya '...kuamua..."
Pole mzazi kaza moyo ongeza sala itapita...majaribu tulitengenezewa binadamu..
Na Mungu anajua unaweza libeba...
Mungu awe nawe akurudishie furaha yako mara elfu na zaidi...
BE STRONG
 
Huyu jamaa alitaka ajihakikishie kua yeye hana reproductive problems, kwa miaka 23 amepanda mtoto wa pili kwa mke wake hajaona chochote.
 
Hii yote munasababisha nyie wanawake kwa mnapowanyima waume zenu unyumba bila sababu za maana, hapo unategemea nini? Mimi nimeshaapa nitakapooa mke wangu akinikatalia unyumba kwa sababu ya jeuri zake tu, siulizi mara ya pili. Of course huko nje nitapiga na ndomu kama kawa, lakini nikikuta anayetaka uzazi, ni suala la kukubaliana tu kuhusu vipimo vya ngoma na nini na kama mambo yako shwari wala sitajivunga.
 
Enough of these cheating topics For the love of GOD.... I am sick sick sick of men cheating and thinks they have every right in the world to be unfaithful...

My take is...show him the bloody door and ask him to walk through it and not to come back again.... :mad:
 
Are you? Y dont u do something about it ???
 
Enough of these cheating topics For the love of GOD.... I am sick sick sick of men cheating and thinks they have every right in the world to be unfaithful...

My take is...show him the bloody door and ask him to walk through it and not to come back again.... :mad:

Mh:confused2: ..Does this aplai huku uswahilini kweli?? Unamwambia jamaa toka na usirudi humu ndani... hiyo nyumba ya nani??..:noidea:
 
Back
Top Bottom