The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,396
- 12,979
Barua ya kujiuzulu hakuandika kwa hiari yake alilazimishwa kujiuzulu baada ya kuonekana ni msaliti wa nchi. Gabbage in Gabbage out, unategemea chama kilichoanzishwa na msaliti wa nchi, na chenyewe kitakuwa kisaliti tu
We kweli ni mtoto wa juzi............... nenda kamuulize baba yako akupe hadithi. Kwa kifupi tu.......... Aliyoshauriwa Nyerere na kuyakataa alikuja kuyakubali ndani ya kipindi kisichopungua miaka 10. Uzuri Nyerere hakuwa king'ang'anizi kama akina JK, alipogundua nchi imemshinda akamua kung'atuka 1985. JK dunia nzima imeshajua ..... lakini bado anang'ang'ania tu kisa miashara za ikulu!!!!