Siasa ni pamoja na na kuzungumzia matukio ya kila siku na kuwajulisha wananchi

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Inaonekana CCM haijui kuwa SIASA ni Mfululizo Wa MATUKIO ya KILA SIKU.

Huwezi kusema Eti VYAMA vya UPINZANI leo vinapozungumzia KATIBA MPYA kesho BANDARI na Kesho kutwa UFISADI ni KOSA Vyama vya SIASA vinawajibu wa KUZUNGUMZIA kila KITUKIO linalitokea NCHI ili kuwajulisha Wanachama wake na Wananchi kwa UJUMLA iwe kwa KUPINGA KUSHAURI au KULAANI

Kwa Mfano wakati CHAMA kinawaelimisha Wananchi Umuhimu wa KATIBA MPYA likaibuka Sakata la MKATABA wa HOVYO wa BANDARI ina maana CCM ilitaka VYAMA vya SIASA Visiuzungumzie kabisa MKATABA kwa kuwa Vinazungumzia KATIBA MPYA?

CCM inapaswa kumbe Kupewa ELIMU ya KAZI za VYAMA vya UPINZANI

Vyama vya Upinzani Vinapoona MAMBO yanaenda HOVYO kinyume na SHERIA au KATIBA vina wajibu wa KUYAZUNGUMZIA wakati Wowote ila Wananchi Wajue.
 
Back
Top Bottom