figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Mi nmekaa nasubilia hiyo ndoa ya MtotoSix na charminglady bila mafanikio. Nimejitahidi kuwasiliana na mwenyekiti kamati ya harusi ambaye amesema hadi sasa hajui kinacho endelea coz bwanaharusi haonekani.
Nmemfuata bibi harusi maeneo yao huko kanda ya ziwa, cha ajabu nimekuta analia huku akisema kuna wanafiki wenye roho ya kwanini wanamuonea wivu huku akijitapa hakuna wa kuzuia bahati yake kwa mtoto6.
Hadi sasa ndugu wa bw.harusi wamemficha mtoto wao.
Ndoa ipo mashakani.
habari ndo hiyo. mia

Last edited by a moderator: