Aibu ndani ukoo,msaada unahitajika jaman!Kumbe Mtotosix ni kaka yetu!

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Jaman,jaman,jaman....baba kaja anapiga mayowe analia kukutana na mtoto ambaye alimtelekeza akiwa mdogo na mbaya zaidi mtoto huyo anataka kumuoa dada yetu wa nje ya ndoa anaitwa naniii!..nanii, nimemsahau jina maana baba alikua kicheche enzi ya ujana wake,basi bwana wakati analia na kupiga mayowe huku akitutambuli kaka yetu mtotosix ikabidi akusanye watoto wake wote wa ndani ya ndoa na hata nje ya ndoa,kumbe hata charminglady ni dada yangu,baba alimzaa kipindikilee anafanya kaz ukerewe,ajabu ikaja pale ilipogundulika watoto wa baba mmoja wanataka kuona.dah! KUMBE MTOTO6 NI KAKA YETU!
 
Last edited by a moderator:
Kusahau jina ni uthibitisho wa fake story!
Hii ndoa lazima ifungwe

Jaman,jaman,jaman....baba kaja anapiga mayowe analia kukutana na mtoto ambaye alimtelekeza akiwa mdogo na mbaya zaidi mtoto huyo anataka kumuoa dada yetu wa nje ya ndoa anaitwa naniii!..nanii, nimemsahau jina maana baba alikua kicheche enzi ya ujana wake,basi bwana wakati analia na kupiga mayowe huku akitutambuli kaka yetu mtotosix ikabidi akusanye watoto wake wote wa ndani ya ndoa na hata nje ya ndoa,kumbe hata charminglady ni dada yangu,baba alimzaa kipindikilee anafanya kaz ukerewe,ajabu ikaja pale ilipogundulika watoto wa baba mmoja wanataka kuona.dah! KUMBE MTOTO6 NI KAKA YETU!
 
Last edited by a moderator:
mamaaaa!!....mkuu Ruhazwe JR bora umesema wewe maana niliwai kusema hapa vijana wakaja juu kisa wamenogewa na penzi halamu.haya sasa charminglady unaswali?
 
Last edited by a moderator:
Mtu anapo pewa nafasi ya kutoa ushahidi akasema amesahau mambo mawili yanazingatiwa!

1. Huyu mtu anaweza akawa ana Amnesia problem kwa hiyo ushahidi wake unaweza usizingatiwe kabisa!( hapa vipimo uzingatiwa)

2. Huyu mtu anaweza akawa ni muongo ndio maana ana sahau kwa hiyo huwezekano wa kutengeneza habari ni mkubwa na huyu ushahidi wake una weza husizingatiwe na akigundulika ni muhongo jela miaka 3.

ruttashobolwa ana njaa kali ndio maana anatetea kile anacho amin si sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Mtu anapo pewa nafasi ya kutoa ushahidi akasema amesahau mambo mawili yanazingatiwa!

1. Huyu mtu anaweza akawa ana Amnesia problem kwa hiyo ushahidi wake unaweza usizingatiwe kabisa!( hapa vipimo uzingatiwa)

2. Huyu mtu anaweza akawa ni muongo ndio maana ana sahau kwa hiyo huwezekano wa kutengeneza habari ni mkubwa na huyu ushahidi wake una weza husizingatiwe na akigundulika ni muhongo jela miaka 3.

ha,ha,ha...katerwe ne nkuba.enjala neija kukukola kubi!.
 
Mimi kama msajili wa mahusiano napitia jalada hili kwa uangalifu na nitatoa taarifa baadaye
 
Jaman,jaman,jaman....baba kaja anapiga mayowe analia kukutana na mtoto ambaye alimtelekeza akiwa mdogo na mbaya zaidi mtoto huyo anataka kumuoa dada yetu wa nje ya ndoa anaitwa naniii!..nanii, nimemsahau jina maana baba alikua kicheche enzi ya ujana wake,basi bwana wakati analia na kupiga mayowe huku akitutambuli kaka yetu mtotosix ikabidi akusanye watoto wake wote wa ndani ya ndoa na hata nje ya ndoa,kumbe hata charminglady ni dada yangu,baba alimzaa kipindikilee anafanya kaz ukerewe,ajabu ikaja pale ilipogundulika watoto wa baba mmoja wanataka kuona.dah! KUMBE MTOTO6 NI KAKA YETU!
hizi tuhuma ni nzito, kwanza mwanasheria wetu kaniruhusu niwaoneshe cheti cha kuzaliwa, hii nadhani itamaliza malalamiko ya kuwa mimi ni ndugu yenu wa mbaliau wa karibu.......mpaka sasa charminglady kaanza kukata tamaa, mpenzi tupigane mpk mwisho hawa hawatatuweza
 
Last edited by a moderator:
mh, haya bana. yan me nshachoka ku-comment!

mpenzi nilipata dharura nkashindwa kuja ofisini, tena huku nilipo ipad yangu haifanyi kazi hakuna wayalesi, simu imezima chaji tangu muda, usiniwekee chakula nimekula kabisa, saa nne ntakuwa home
 
hizi tuhuma ni nzito, kwanza mwanasheria wetu kaniruhusu niwaoneshe cheti cha kuzaliwa, hii nadhani itamaliza malalamiko ya kuwa mimi ni ndugu yenu wa mbaliau wa karibu.......mpaka sasa charminglady kaanza kukata tamaa, mpenzi tupigane mpk mwisho hawa hawatatuweza

wee sijakata tamaa my huz, nshongea na my lawyer amesewa kuanzia sasa tusizungumze chochote juu ya tuhuma hz bila uwepo wake!
 
Last edited by a moderator:
mpenzi nilipata dharura nkashindwa kuja ofisini, tena huku nilipo ipad yangu haifanyi kazi hakuna wayalesi, simu imezima chaji tangu muda, usiniwekee chakula nimekula kabisa, saa nne ntakuwa home

wory out my huz, i do understand. . .
 
DNA test imethibitisha kua mama MtotoSix alimdanganya baba yenu ili apokee pesa za pension. Kweli mzee alidhani ni wake (si mnaona walivofanana vidole vya miguu?) But †ђξ fact is, HE IS NOT blood related. Hivo ni rukhsa kabisa kuoana (and may this L♥√ع thrive), ila mama mtotosix arudishe kwanza hela za pension alizo pokea for 26 years.
 
baelezeeee
 
DNA test imethibitisha kua mama MtotoSix alimdanganya baba yenu ili apokee pesa za pension. Kweli mzee alidhani ni wake (si mnaona walivofanana vidole vya miguu?) But † fact is, HE IS NOT blood related. Hivo ni rukhsa kabisa kuoana (and may this L thrive), ila mama mtotosix arudishe kwanza hela za pension alizo pokea for 26 years.

my dia Roulette kwa bahati mbaya natumia simu, ningekupa like ya kufa mtu. n-way pokea ma-like yangu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom