mtotosix azimwa kama mshumaa!!!

nakuunga mkono,
kweli yule bwana na sharo
mtunze mtoto mia.

yule ni wangu sema wameweka wanasheria kibao. lakini hawataniweza hadi sasa nimeweza kuwachanganya na kutibua mipango ya ndoa. sio siri kwamba charminglady ni wangu. mimi ndo nmempokea jf na kuapply maombi ya ndoa na akanikubalia. pm ninayo. ikihitajika nitaiweka hadharani. mia
 
Miss you sana my baby,
acha wajue kuwa upo chuo, si unajua unaongeza cv na pia mahari ni lazima
nipokee ya kutosha, soma sana kwa faida yako na sisi wana familia pia my baby.

We nawe kwa kutoa siri mpaka kila mtu ajue nipo chuo ha ha ha
Mzima kabisa nambie umenimiso??? Sante sana kunikumbuka kwa salamu
 
Muache ahangaike! Ina elekea na yeye alikuwa ana nia ya kutangaza nia sasa kachelewa amekuja na visasi na jazba lol...

Wewe umewadanganya ukawalia hela eti ni mwanasheria wao. hii hawataisahau. wafanyie sheria michango ya watu warudishe. hahahaaaaa...!!!. charminglady ni special kwangu tu. na ninatoa onyo kwa wale wote watakao mnyemelea. Hii iwe fundisho kwa wote. mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom