Yajue maradhi yanayokusumbua kiroho! (Jijue kama umelogwa)

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,482
Inaweza kuwa unaumwa maradhi ya hovyo hovyo hayaelezeki na umejaribu sana kutibiwa hospitali au tiba mbadala au kwa mashehe na mapadre bila mafanikio, leo nitakujuza maradhi kuu saba yanayobebwa kiroho na yenye kukutesa kisiri kwa kujua au bila kujua na hayatibiki hadi upate dawa za kiroho ambazo ni physical na spiritual zifanyike pamoja ili kuponya na kuondoa matatizo hayo:

witchcastingspell.jpg

Fahamu ya kuwa maradhi haya yanaweza kukuharibia kwa nafasi kubwa sana moja kati ya sehemu kuu 12:

Ambazo ni:

1: Mfumo wako mwenyewe binafsi

2: Mfumo mzima wa kipato cha pesa

3: Mfumo mzima wa maelewano na watu

4: Mfumo mzima wa mizunguko yako

5: Mfumo mzima wa mali na uzazi wako

6: Mfumo mzima wa Afya na Huduma

7: Mfumo mzima wa Ndoa na Familia

8: Mfumo mzima wa ukombozi/okolewa

9: Mfumo mzima wa Safari za Maisha

10: Mfumo mzima wa Kazi zako

11: Mfumo mzima wa ndugu/marafiki

12: Mfumo mzima wa nyota yako


Pia maradhi haya yanaweza kukukosesha mengi na kupelekea mtu kufa au hata kuchanganyikiwa au hata kuwa na stroke isiyoweza kutibika hospitalini na kupoteza nguvu ya taifa bure,


Aina ya kwanza ya maradhi:

Hii ni aina ya maradhi ambayo humvurugia mtu mifumo mifumo hapo juu:

Mfumo wa binafsi na mfumo wa pesa na mfumo mzima wa safari ya maisha na mfumo wa nyota yake nzima

Pale inapoharibika mfumo hii minne mtu hupoteza na kushindwa kufanikisalili za maradhi haya na jinsi yalivyo:

Kwanza kabisa maradhi haya yanasababishwa na binaadamu akishirikiana na jini katika kumuwekea mtu kitaalamu huitwa kijicho "evil eye"

Ni ile hali ya mtu kumuangalia mtu vibaya na kumuweka mdomoni na kumuombea ubaya umfike bila kosa lolote alilofanya mtu huyu anaefanya hili hukumbwa na pepo ambaye yupo katika maradhi aina ya nne ambayo nayo tayaelezea hapo chini shetani yule anapomkumba anamfanya awe na chuki na watu wanaomzunguka na kupenda mabaya yawatokee ndio nafsi yake hutulia na kusuuzika pale anapokufanyia roho mbaya na kukukunjia nyongo yake basi huweza kuachia upepo mbaya wa shetani yule uliopo mwilini mwake na kuweza kumzuru mlengwa na yeye hufaidika kwa kufanya ubaya huo kwa sababu giza la kiumbe yule linakuwa limemvaa mtu mwingine hadi lijikusanye tena ndio mambo yake yanaanza kuwa mabaya kwa hiyo hadi amtafute mtu mwingine amfanyie kijicho tena na yeye hupita akijitapa kwa watu kwamba mimi nikimkusudia mtu jambo baya basi humfika, the same akimkusudia mtu jambo zuri halitendeki wala chembe kutokea zaidi ya mikosi tu, huyu mwenye maradhi aina ya kwanza ndio anaathiriwa na mtu huyu ambapo dalili za maradhi hayo alieathirika anakuwa na uvimbe au ugumu ndani ya mwili wake au sehemu ya mwili wake ambao unashindwa kuelezeka katika jicho la sayansi ya kimwili, na pia mwili wake unakuwa na joto muda wote ambapo akikaa nalo muda mrefu basi humtokezea madoa au mapele meusi usoni ambayo hayatibiki kwa tube za hospitali au medicated soap za kawaida hata afanye nini vinakuwa kama vinapungua halafu vinamjaa tena na chunusi ambazo ni unexplained in Science, na kichwa kinakuwa kinamuuma hadi anazoea inakuwa kama maradhi yake hata akitumia dawa basi inapoza kidogo ila bado kinakuwa kinauma na dawa zote za hospitali na macho anakuwa kapima vitu na kutibu vyote ila bila mafanikio, anakuwa na homa kali za ghafla na kupotea bila kutibu mwili kuwasha hovyo na kukata ghafla, na maumivu sana kwenye sehemu za mabega na kifuani sehemu ya moyo au kujihisi ugonjwa wa moyo na ikikaa muda basi ukipima moyo utaambiwa umejaa au gundu na brah brah za sayansi, moyo unakuwa unalipuka hovyo na kwenda mbio na mwili unakuwa unakauka,maradhi haya kwa mwanaume akitumia dawa basi hupona haraka na kusahau ila mwanamke humkaa kwa muda hadi umtibu kwa kutulia na kumuhurumia, maradhi haya huanza kama upepo wa shetani unaotupiwa na muhusika niliyemtaja hapo juu baadaye kinajiform anakuwa kiumbe ambaye ni jini anakuwa anakusumbua akiambatana na huo uchawi, sasa unapokwenda kwa wataalam ambao hawanaakili miongoni mwa matabibu wa kiislamu na kikristo waliojaliwa kidogo karama na mwenyezi mungu or whomever give them the power wanapokuangalia mwenye hili tatizo wakimuona muhusika wanakwambia ni fulani lets say kwa mfano mgonjwa mwenye hayo maradhi aina ya nne niliyoyasema hapo ni mama yako au baba yako? Au kaka au dada yako,

Basi unaambiwa mama yako au baba yako mchawi bila kujua source ya tatizo hilo bila hata kulichambua na kulichimbua vizuri..
Taarifa zinamfikia muhusika kwamba fulani katizama umejulikana wewe ni mchawi analia na kuskitika sana na kujiona alikukunjia roho siku moja tu leo yeye mchawi anajihisi mnyonge na anasema mungu atamlipia, My friend hapo ndio laana inakufika wewe na mganga wako au mkemea mapepo wako, ndio maana wanakosa nguvu na kazi zao zinakosa karama na uponyaji wao haukusaidii chochote baada ya hapo wanakuwa fake pastols na fake Muslims ndugu yangu kama wewe ni tabibu na umepungua nguvu njoo nikusaidie through meditation ujaze nguvu za roho yako achana na mambo ya kununua nyoka wa kichawi Nigeria na majini Visiwani Come i will help you. Uweze kufanya kazi yako kwa ufanisi zaidi na kama umeshazunguka kwa waganga na walimu bila mafanikio check me i will guide you,

Ruqyah-4.jpg


Ili uweze kuondosha tatizo hili lazima huyo kiumbe aliyeundwa kwenye mwili wako avutwe apande afukuzwe na vitu vyake vyote, au kama bado ni moshi haujawa kiumbe basi uvutwe hadi uusikie ndio uweze kuondolewa na uuhisi wakati unatoka hapo ndio umepona..
Wengi wanapovutiwa na waganga au mapadre au mashehe basi hupanda na kuahidi vimetoka lakini akifika nyumbani akikaa mambo huwa yale yale kwa nini?
Je, mti wa mwembe ukiutoa majani yote na maembe yote ndio mwisho wake?

Hivyo hadi uondoshe vinavyofanya asurvive kwenye mwili wako,
Hivyo huwa anatoka na kwenda kukusubiri nje ya eneo hilo within few weeks or days anakuwa karudi,

Baada ya kwisha matatizo hayo basi popote utakapoenda watu watakukarimu na kukuskiliza utakuwa na nguvu mara tatu ya ulivyokuwa awali, utakuwa fahari na maisha mazuri hata kama sio ya kitajiri sana, nyumba moja na gari na ofisi utajihisi fahari na kutosheka sana au zaidi ya hayo na mambo yako yatakuwa vizuri utaona ajabu ya Mwenyezi mungu,

Witchcraft-Spell-to-Make-Someone-Sick.jpg


Nb.
Mwenyezi mungu Allah/Jehova/God vyovyote unavyomjua wewe hakuleta mtu duniani kuja kuteseka bali kumuabudu tu,


Aina ya pili ya maradhi:

Hii ni aina ya pili ya maradhi ambayo inahusika na kuharibu mifumo miwili hapo juu mfumo wa pesa na mfumo wa mapenzi
Pale mifumo hii inapovurugika mtu hukosa muafaka na watu kushindwa kuwa na marafiki, mtu anakuwa na roho mbaya, anakuwa na tamaa ya kufanya zinaa kupitiliza na anakuwa hana nguvu na kuishia kukesha akifanya ngono ndotoni japo zinaonesha ni za muda mfupi tu au ni anamuona tu mtu yupo uchi au yeye mwenyewe baada ya hapo anakuwa amechoka sana akiamka, anakuwa hana baraka kuota ndoto zinazotokea kweli lakini hazina faida yoyote,anakuwa ni mtu wa kupata uchumi kwa shida sana na akipata anakuwa mchoyo sana, na anachotaka akikikatia tamaa ndio anapata basi pia watu wanakua wanamuonea tamaa wivu na kuanza kumpiga vita pamoja kuwa kapata kwa shida,

Urogwaji huu unakuwa unakuja kama Ashiki(nyege) anakuwa anajiona mtu fahari na mwenye kujua mambo mengi sana wengine wote anakuwa anawaona hawafai yeye ndio bora kabisa,
Lakini anakuwa anaumwa sana na miguu,kichwa na moyo mara kwa mara au ngiri na mchango mkali tumboni wengine hushindwa hata kubeba mimba na kuzeeka bila kuzaa without any scientifically information, anakuwa wa kuumwa kichwa na maskio yanakuwa yanawasha na kumsumbua anahisi kuchanganyikiwa haya ni maradhi yanakuwa yamempata zamani kidogo ni maradhi ya kumkumba tu na anakuwa ameyapata nyakati za magharibi, kama ugonjwa ukizidi kwwnye moyo na masikio basi anakuwa kalogwa na mwenzi wake walioachana lakini kama utazidi sehemu zingine basi ni jini mahaba ndio mwenye kumtesa,
Anatakiwa avutwe atolewe yeye na uchafu wake wote,
Kuombewa au kusomewa peke yake hawezi kutoka wala kutatarika zaidi atakaa pembeni bbaadae anarudi unless mtu huyo aishi maisha ya kiimani na kumpenda zaidi mungu wa imani yake ndio tatizo hilo huenda zake, lakini kwa mtu ambaye imani yake haba basi lazima asomewe au kuombewa na apatiwe dawa ili ziwezo kuingia katika mwili wake na ziweze kumuondoshea matatizo na kumkinga, always madawa nayo huwa yana muda inafikia sehemu yanakufa that's why huwa watu wanareja kufanya tena baada ya mwaka mmoja au miwili,

Aina ya tatu ya maradhi:
Maradhi haya yanatokana na upepo ambao unaweza kutibika na katika mlolongo wa maradhi yote saba basi haya ya tatu ndio maradhi yaliyo magumu kuondolewa kutokana na jinsi yalivyo,
Haya mara nyingi mwenye kuumwa huwa na tatizo katika kichwa chake kunakuwa na pepo mchafu, ambaye humuumiza mtu mwili mzima, na anakuwa na maradhi yanayotembea kutoka kitovuni kupitia njia ya kizazi (sehwmu za siri) hadi magotini pote humo anakuwa anaumwa na pia anakuwa na maumivu makali kwenye shingo na ugonjwa unakuwa unamrudia mara kwa mara, na mara nyingi yeye anakuwa anawaza kufa kufa na mambo ya vifo vifo, na pia upepo huu huwa ni maradhi ya jini wa kutupiwa jini wa makaburini, anakuwa anaumwa kichwa,moyo unakuwa unadunda haraka karaka anakuwa na wasiwasi anawaza kufa kila wakati, vilevile akilala anaota ndoto mbaya na za makaburini mara kwa mara, kifua kinakuwa kinambana sana, ghafla na kuachia, anakuwa anakula kwa shida, na anakuwa anajihisi kama kabeba mzigo mgongoni au kichomi mgongoni,

pia anakuwa na maumivu wakati wa kuingiliwa/kumaliza kuingilia..

Anapotembea anahisi kama mtu anamfuata nyuma na mwili unamsisimka muda mwingine huona maluwe luwe pembeni yake, na nywele hujizoa maradhi haya kila anapotibiwa hupata nafuu na kisha anaanza tena kuumwa.

Hivyo tiba yake lazima afanyiwe tiba kisha apate Mbuzi au kondoo achinjwe na agawiwe watu maskini kama nyama na kusomewa na madawa ambaye ya ugonjwa huo na hayataki mchezo haya maradhi kuambukiza ni sekunde tu kwa anayetibu na hayatoki na haya huwa mkosi yanapomvaa mganga ndio maana waganga na walimu wengine ni maskini,
Haya huathiri mifumo miwili hapo juu, maongezi/mawasilino na Afya/huduma unakuwa unakosa hata pesa ya kula tu inakuwa inapiga chenga hadi alazimishe
getmoneyback.jpg



Aina ya nne ya maradhi:
Haya ni aina ya maradhi ambayo humvurugia mtu mfumommoja wa maisha yake hapo juu mfumo wa mizunguko, hii humpelekea mtu kushindwa kutoka kwenda kujihangaikia maisha yake anakuwa ni mtu wa kukaa hovyo bila kazi na anakuwa ni mzito kujishughulisha ambapo hupelekea kushindwa kuingiza kipato cha kuweza kukidhi mahitaji yake na kubaki akionekana kama mzigo kila eneo aliopo na akikaa na watu ambao hawana visions humuita mzigo dhahiri kabisa au akikaa karibu na watu anakuwa anawaona kama wanamtenga hata kimazungumzo na akiongea nao huona kama anaongea pumba na kisichokuwa na faida,
na hata akijilazimisha kutoka kwenda kuhangaika hufika tu sehemu na kukaa kupoteza muda kama vile, vigenge vya kahawa na michezo ya puli table au chochote ambacho kitakacho mfanya tu awe kakaa kaa kama mjinga asiye na faida,mtu huyu huwa anatakiwa apatiwe pete ambayo inakuwa imeandaliwa kumfungua kwenye maradhi yake kwa sababu yeye hufanyiwa roho mbaya na kila anaemzunguka na inatakiwa pete hiyo ifanyiwe kisomo ambayo itakuwa akiivaa na itakayo mrudishia maarifa yake vizuri na akili yake kukaa sawa,kwa sababu pia ni mtu ambaye huwa na viashilia vya bawasiri au upepo wa bawasiri yaani akikaa anasikia kama upepo unamtoka makalioni siku upepo wa gesi ya haja kubwa hapana ni kama kiupepo tu kinakuwa kinapuliza sehemu hiyo kwa kuingia au kutoka ndani, na pia kwenye tumbo lake anakuwa na kitu kama gesi ambayo inacheza lakini sio gezi ya kawaida maana hii hutokea kwa mtindo mmoja tu, nae kifua huwa kinamsumbua na anakuwa na chunusi either mgongoni au usoni pake ambazo ni nyeusi au za kijivu, pia macho yake muda wote yanakuwa yamechoka kasoro tu, akitizama simu au video huona macho yapo sawa lakini akitembea tu kidogo huhisi mwili wote unakosa nguvu na kujihisi watu wanamtizama sana,ili aweze walau tu kupata nafuu kidogo anatakiwa achinje kuku kulingana na jinsia yake na ale upande tu wa kulia hii itamsadia kidogo upande wa kushoto ampe paka mweusi au paka yoyote na kukualiyebaki amuachie watu wamle nayo ni kwa kidogo sana atapata nafuu, pia hata kama kuna dalili mbili au tatu za niliyoyasema hapa kwenye aina ya nne ya maradhi unayo basi kapime damu maana damu yako ni kidogo mwilini kizunguzungu kitakujia na kupotea mara kadhaa, na usiku ukilala basi unaweza kuwa unaskia mwili unawasha hovyo mara moja moja without physical explaination labda wadudu au shuka chafu au minyoo au marelia hapana yote hayo yanakuwa ni umepima na hamna lakini unakuwa unajiskia hivyo,
na kama ni mwanamke basi siku zake huwa haziendi sawa au zinaweza kufunga muda zaidi ya miezi miwili bila mimba na hali inapotea halafu inarudi tena,

Aina ya tano ya maradhi:
Hii aina ya maradhi ndio humpelekea mtu kuitwa mchawi na kuonekana mwanga kwa sababu maradhi haya huleta chuki, mambo mabaya, kuvunjisha watu ndoa kwa mdomo tu, kuchochea ugomvi kuvunja vitu vya watu hovyo,kufifiza maisha ya watu ukikaa nao, lolote la kheri unakuwa huna zaidi ya mabaya tu ndio yanakuwa na faida kwa mwenye maradhi hayo, na huishia kuonekana nuksi kwa watu,

witch.jpg

Mara nyingi maradhi haya huwa yanatokana na kulishwa nyama za watu au mizoga kichawi au kwa kutegewa kwenye vyakula vya ugenini, nyama inayochanganywa na maziwa maalum kichawi na kulishwa mtu haraka anaanza kupata matatizo ya maisha yake na kuwa hafai mbele za watu, na pia huwakumba watu wanaokula vyakula gizani au chini ya miti mikubwa nyakati za usiku ndio maana watu wengi wa vijijini huonana wachawi wao kwa wao, mara nyingi upepo huu huwa ni wa majini ya kichawi ambapo ukimaliza miezi 10 au 11 upo mwilini kwako hujiunda kiumbe ambacho ni jini la kichawi na kuanza kukufundisha uchawi hovyo mara unaota umevaa mavazi meusi porini na kuchimba au kuchuma dawa gizani, au kuota umevaa mavazi meusi na unawachezea watu waliolala na kuota umevaa mavazi meusi na huku unawazini watu waliolala fofofo, mara nyingi huanza kwa mtu akiwa na fimbo na kupiga watu hovyo au anaota anafanya mapenzi na mtu asiye tikisika, na kuota hovyo unazika vitu makaburini, na mtu huyu huwa anakula na wala hashibi na katika ngozi yake kunakuwa na ugumu na anakuwa ni mbovu wa kichwa sana na anatetemeka hovyo mikono na miguu na ugonjwa huu umemuelemea upande wa kushotoni mwa mwili wake anakuwa anahisi kitu kizito kama jiwe upande mmoja unakuwa ni mzito huu wa kushoto na mungu ndiye anajua zaidi tatizo hili na pia hili tatizo anakuwa kashatibiwa sana na hajapata nafuu na akipata nafuu hali inaanza tena anakuwa ni mtu wa kukurupuka hovyo na damu yake ni kidogo mwilini na huwa na wasi wasi sana, anapoenda sehemu nyingine kutibiwa huambiwa ana mzimu mkali wa kiganga hivyo anatakiwa aanze kuagua na hata akikubaliana nao aanze kufanya kazi nao bado kazi zinazokuwa anafanikisha ni za kuharibu tu, hawezi kumsaidia mtu akapona zaidi ya kuishia kuloga na kuwangia watu wakafanya vitu vibaya kazi zake nyingi zinakuwa za kuharibu tu,

Aina ya sita ya maradhi:

Maradhi haya si makubwa sana na sio ya kuendelea,
humfanya mtu achelewe ulaini wa mambo,ukarimu,akili,elimu,upole,na kucheleweshewa mambo mazuri mazuri na imani yake inakuwa muda si mrefu anapata anachotaka anakuwa na hope sana kwenye hakuna, siku zinazidi kwenda anakuwa mapigo ya moyo yanayobadilika bila sababu yoyote ghafla moyo unaenda mbio ghafla unaenda sana na kuna muda moyo huwa na mapigo ya kawaida lakini hufanya hadi mwili kucheza cheza,
maradhi haya humuijia na kumfanya kukauka koo na kujihisi sana kukauka koo muda mwingi wakati wa usiku kuanzia giza limeingia hadi akiingia kulala, na kupigwa na upepo wa kijini ambao unakuwa umejaa kifuani kwake na kutokana na upepo huo mwili wake unakuwa anashtuka shtuka usingizini na anahisi anadondoka wakati yupo katikati ya kitanda huu upepo huwa ni wa kuondoka na kumrudia, na maradhi haya anakuwa ameyapatia sehemu ya maji mfano baharini au ziwani au kisimani ambapo alikuwa anaogelea au kuoga na maji maeneo ya kisimani ndio akaupata upepo huwa kwa sababu alikuwa kwenye hali ya kutoka au alikuwa akifanya mapenzi eneo hilo na hali yake ikamkuta hapo na kama ni mwanamke basi upepo huo ulimuingilia sehemu ya nyuma katika utupu wake nae huwa kama analia hivi katika usingizi wake na mwili wake kila akijitizama huwa anaona kama anabadilika badilika rangi hivi kutokana na maradhi hayo, pia akikaa huwa kama anapotea kwenye dimbwi la mawazo kwa muda na mwanamke nyonga humkaba na wakati wa kuingiliwa huwa anahisi kichomi kwenye K*ne*a


Aina ya saba ya maradhi:

Haya ni maradhi ambayo ni mabaya zaidi na muda mwingine humuondolea mtu maisha kwa upande wa pili kabla ya kufika kwa aliyemuumba,

Maradhi haya hutokana na Jini mbaya ambaye ni subiani wa ardhini na upepo pamoja na damu,
humzidishia mtu maumivu katika viungo vyake vya mwili na kwenye kichwa na humshika katika tumbo lake sehemu ya kibofu cha mkojo na humsababishia joto kali sana sehemu hizo pamoja na mwili mzima na humfanya moyo kwenda mbio na kukosa raha na anaona kitu kinakuwa kama kinamzunguka mbele na kustuka stuka hovyo anakuwa kama mgonjwa wa fobia humfanya kila kitu anakuwa anaogopa ambayo wengi huwapelekea kuwa vichaa au kufa au kuingia kwenye coma maana kila kitu anakuwa anakubadilishia hovyo hovyo tu, kizunguzungu na pia upungufu wa damu mwilini mara kwa mara na mwanamke siku zake huwa haziendi sawa mwili wote unakuwa siyo mzuri na muda mwengine hedhi hufunga zaidi ya miezi 6 mwaka mmoja hadi zaidi bila kupata na anauwezo wa kukuretea aina zote za maradhi hapo juu kutegemea tu na upepo wake mwaka huo unakuwa vipi, huyu huwa hana mchezo wala tiba zaidi ya tiba yake ni kumfunga kwenye chupa na kumtupa mbali ikiwa kaanzisha vita na wewe au kumuuwa kabisa ikiwa atagoma ni moja kati ya kiumbe kibaya sana kikianza vita na mtu na sio kila upuuzi puuzi wanaolipuka watu wanajisema wana masubiani ni subiani kweli wapuuzi tu,
na pia huyu humletea mtu harufu za ajabu ajabu mdomoni, puani hata sehemu za siri mwili mzima ambazo hata uoge marashi utanuka tu, wengine huwafanya wananuka kama beberu na wengine huoza au kunukia kuoza kabisa husababisha watu kukata tamaa na kuamua kijiua lakini usijiue, kwa sababu tiba zipo,
pia maradhi ya kiumbe hiki humsababishia mtu maumivu makali kooni na kujihisi ana vidonda kooni visivyopona miaka yote, na humsababisha mtu macho yake kuwa na rangi ya damu au manjano,
Mwili wa mgonjwa unakuwa wa baridi sana lakini yeye anakuwa anahisi joto hatari, mara nyingi huwa ni jini anatumwa kuua au kuangamiza familia ya mtu au kubughuziwa tu eneo lake, na pia humfanya mwenye ugonjwa huu kuwa na maneno mengi sana na anakuwa ameangushiwa juu ya ulimi wake na shetani huyo kila maneno machafu, na anakuwa anazungumza mambo ambayo sio ya halali na yasiofaa na ambayo hayana heri wala stara,
fobias-raras.jpg

Hili tatizo mtu anaweza kutibiwa na kupona kwa mchanganyiko wa dawa 40 tofauti na michanganyiko mingine na kufanyiwa maombi ndio kiumbe na maradhi hayo kuweza kumtoka lakini baada ya hapo anatakiwa awe karibu sana na mungu wake.

hii ni mifano ya fobia
56aa18b520958_portada.jpg


fobia8-770x385.jpg


KUMBUKA:
Usisikilize nini hizi quotes hapa chini za wanajamii wanachojadili huwezi jua kwanini kila mada ninayotoa wanasema ni uchawi, au ushirikina hapana kwa muelewa atajua kabisa kwamba haya mambo yanafundishwa hapa ili mtu kuweza kujisaidia au kuyakwepa for good sasa kama mtu anaquote na kusema kwamba ujinga au upuuzi basi muangalie either kuna moja kati ya mawili haya:

  • either ni mtendaji wa haya hivyo anaona anaharibiwa kazi
  • au mtu asiyeamini uwepo wa roho katika mwili wake.
kwa maana kama huusiki na mawili hayo basi wewe ni mpuuzi hivyo kila kitu hupuuza,

THREAD COMPLETE...!

Ikiwa una swali na upo nje ya forums:

tumia email hii rakimsspiritual@gmail.com

+255783930601
maxresdefault.jpg

Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims
 
Mimi nlikuwa na bahati sana zamani lakini saivi sieleweki... watu walijua mi nitakuwa mtu muhimu sana hapa nchini, lakini matokeo yamekuwa kinyume kabisa....... ila mi najionea sawa tu...... maisha yanaweza kuwa kivyovyote vile........ simlaumu yeyote
Yea, hongera kwa kuendana na mazingira

Rakims
 
Back
Top Bottom