mtotosix azimwa kama mshumaa!!!

roho yakuuma! halooo o o o o o o. . . mbna unatoa povu hvo. umentafta lini hebu acha uzushi.
MtotoSix hebu kula hii dedication ya mduara. "wacha wacha waseme, watasema mchana ee usiku watalala"

Mtoto6 anakudanganya wala hana mpango wa kukuoa tena kashanipm. amesema anakuchezea tu kisha aingie mitini. mia
 
Last edited by a moderator:
achana nae my huz, em cum ths way tukapate lunch lmao!!!!!

Hawezi kuja. amesema eti wewe ndo unajipendekeza kwake. anasema unamsumbuasumbua kumtoa out wakati yeye hataki. Situka mapema. Mtoto mzuri kama wewe unatakiwa kuwa na kijana mwenye mapenzi ya dhati figganigga. Achana na huyo sharobaro. mia
 
Last edited by a moderator:
Hakuna sababu ya kupambana wakati ndoa yako itatambulika kisheria acha atambe mitaani lakini mwisho wa siku hatashindwa kuthibitisha madai yake!

Just relax mimi nipambane nae!
Mipango imefika pazuri wala usijali.

Mi sheria sijui ninachojua pingamizi lipo kwa padre kanisani. labda ifungwe ndoa ya mkeka. hahahaaaa...!!!. mnalo. mia
 
Mia hata wewe si unamlilia yule bibi harusi.

yule ni wangu sema wameweka wanasheria kibao. lakini hawataniweza hadi sasa nimeweza kuwachanganya na kutibua mipango ya ndoa. sio siri kwamba charminglady ni wangu. mimi ndo nmempokea jf na kuapply maombi ya ndoa na akanikubalia. pm ninayo. ikihitajika nitaiweka hadharani. mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom