Mnafiki huyo, mbona hakutia sahii ya kutokuwa na imani na utendaji wa Pinda? Isitoshe ubunge wake hauna hata tija, Anaowawakilisha hawamtaki.
Ushauri ni bora uame chama chako cha magamba haraka sana
Analia nini sasa?
Pole zake and has to recall these words.."CCM siyo baba wala mama yangu.."JK Nyerere.
Wana JFnajua kila mtu anao uhuru wa kutoa mawazao yake, lakini nadhani hapa hakuna faida katika kumshambiulia mtoto wa Kawawa bali posit hii ipo kwa ajili ya kukupa ujumbe wa hali ya wanamaghamba ilivyo hivyo kuwapa fulsa makamanda ya kuuda mbinu za kivita kukamata mateka walioishiwa siraha na kuparaganyika wao kwa wao. Tuwe watu wa kupata ujumbe na mantiki yake hapo tutafika. Nadhani maneno yake yanamaana sana kwa jinsi alivyoyasema akiwa ndani ya CCM kuliko ambavyoangeyasema akiwa nje ya CCM. Nawasilisha.
Nadhani ulipaswa uishie .....lazima atakuwa na roho ngumu. Hayo maneno mekundu hapo hayana uhusiano na mawazo yako kuhusu kijana wa leo TZ.
Hayo maandishi mekundu ni kweli siku hizi ukimwona kijana anashabikia CCM lazima atakuwa na roho ngumu si kwamba CDM ni wazuri sana lahasha uozo wa CCM umeifanya CDM ionekane Lulu.
Aingie barabarani.
Anatafuta masifa, mbona hakutia saini?
ilikuwa aende kumzika Bingu Malawi lakn akashangaa dk za mwisho anaenda m2 mwngneAnalia nini sasa?
Mnafiki huyo, mbona hakutia sahii ya kutokuwa na imani na utendaji wa Pinda? Isitoshe ubunge wake hauna hata tija, Anaowawakilisha hawamtaki.
Ushauri ni bora uame chama chako cha magamba haraka sana