Mtoto wa Kawawa alia CCM inakaribia kufa

Watu wengine husisitza jambo kwa kuzungumza kwa sauti kubwa,kuinua mikono,kupiga meza,kusimama wakati mwanzoni alikuwa amekaa n.k Yeye kaamua kulia ikiwa ni kuhashiria kutokubaliana na jinsi mambo yalivyo ndani ya CCM.Hana pa kukimbilia kwake CCM ni kama mama yake au baba yake.Hivyo kwake CCM ni mtaji wake unaonyemelewa na mbwa mwitu.
 
Kama kweli alikuwa anakwera na ubadhirifu wa mawaziri basi angeungana wakina Deo Filikunjombe na kuweka saini yake ili waziri mkuu aondoke na hivyo kuunda baraza jipya la mawaziri. Tofauti na hapo huyu mtoto atakuwa anatupotezea muda.
 
Nashauri wabunge wote wanawake wa CCM wakae na kisha kupitia bunge caucus yao au UWT wawakilishe mapendekezo kwa Mwenyekiti ya kukinusuru chama chetu haraka iwezekanavyo. Kulia au kulalamika hakutusaidii chochote, ni hatua gani kama wanawake wawakilishi wamebaini zitaepusha aibu zaidi ya chama ndio muhimu. Wanawake wamejaliwa kumudu machafuko kwa ajili ya hekima na utulivu walipewa na Mungu na hili wataweza wakijipanga.
 
mpuuzi kabisa,badala ya kulilia maisha magumu ya wananchi masikini anaililia CCM?!
Huyu mkate wake unategemea uwepo wa chama chake madarakani. Kwa sunami la CDM, kisha gundua kuwa ulaji wake uko mashakani. Ulaji ndani ya serikali ya CCM ulianza baba yake akiwa bado hai, kwa nini leo ndio atulilie? They simply don't care about us.
 
Mtoto wa Rashid Kawawa na mbunge wa CCM Zainab Kawawa amelia machozi katika kikao cha wabunge wa CCM na kusema hii siyo CCM ya baba yake aliyoijua na kwamba hii ni CCM inayoelekea kuzimu kwa vitendo vya ubadhirifu wa mawaziri wake.
Katika hali ya kushangaza wakati akiangua kilio hicho alisema vijana wote aliosoma nao na marafiki zake wanamzomea na kumshangaa kuwa CCM.
Hali hiyo ilisababisha wabunge wenzie ndani ya kikao hicho kupatwa simanzi kubwa na wengine nao walionekana wakifuta machozi.

Source:RAI

Molemo,

..lakini Mzee Kawawa ndiye aliyeshinikiza JK apitishwe, akadai kwamba asipopitishwa na CCM basi nchi haitatawalika.

..waswahili wanasema "mchelea mwana kulia, hulia yeye." CCM walipaswa kumshughulikia JK na wanamtandao kupitia ile ripoti ya Tume ya Maadili.

They did not na sasa wanalia na kujilaumu manaake chama ndiyo kinasambaratika hivyo.
 
Mnafiki huyo, mbona hakutia sahii ya kutokuwa na imani na utendaji wa Pinda? Isitoshe ubunge wake hauna hata tija, Anaowawakilisha hawamtaki.
Ushauri ni bora uame chama chako cha magamba haraka sana

kulialia kama Pinda kunasaidia nini wanafiki wakubwa wala nchi hawa hukumu yao ii tayari!!
 
Zainab tukutane na CCM ya babako kama unavyosema KUZIMU 2015....Chukua hatua time is near.



tena kama think tanker wao(wajumbe wa CC wa chama cha MAITI(CCM) NI HAWA WHAT DO YOU EXPECT????


Wajumbe wa CC hawa hapa:- Kwa majina Wakristo ni wanane hivi!

1. Jakaya Kikwete
2. Pius Msekwa
3. Ali Mohamed Shein

(KUTOKA BARA)
3. Abdulrahman Kinana
4. Zakia Meghji
5. Dr. Abdallah Kigoda
6. Steven Wassira
7. Constancia Buhiye
8. William Lukuvi

(KUTOKA ZANZIBAR)
9. Dr. Hussein Mwinyi
10. Maua Daftari
11. Samia Suluhu Hassan
12. Shamsi Vuai Nahodha
13. Omar Yusuf Mzee
14. Prof. Makame Mbarawa
15. Mohamed Seif Khatib

(KUTOKA SEKRETARIAT)
16. Wilson Mkama
17. Capt. John Chiligati
18. Vuai Ali Vuai
19. January Makamba
20. Mwigulu Nchemba
21. Asha Abdallah Juma
22. Nape Nnauye
 
CHADEMA KUNA HAJA 'TUKABOMOE GEREZA LA KISIASA CCM UKONGA' HIVI KARIBUNI KUWAKOMBOA "WAFUNGWA WA KIFIKRA CCM" AKIWEMO MHE ZAINABU KAWAWA, DR BANA NA DR LAMWAI NAO WAKAFURAHIE MATOKEO YA KIMBUNGA CHA MABADILIKO NCHINI

Mhe Zaina Kawawa,

Wewe ni mtu mwenye asili ya upiganaji. Marehemu Baba yako sote tulikuta akitajwa kama 'Simba wa Yuda' kwa maana ya umbambanaji usiokua na hata chembe cha Unafiki kama wa January Makamba.

Kwa mantiki hiyo, ni kwamba ni matarajio makubwa kwetu sisi vijana wenzako kwamba na wewe utakua ni 'Simba Mtetezi wa Wanyonge' sasa iweje leo wewe Zaina ukajiunga kundi moja na hao 'Simba Wala WaTanzania' waliojaa ndni ya CCM Mamboleo? Hadi hapo wewe mwenyewe na roho yako unategemea wenzio tukueleweje hasa????????????????

Sote tunakufahamu fika na jinsi ulivyo mtu mwenye msimamo na kupenda HAKI tangu enzi zenu na akina Amisi Dambaya kule Star TV. Mpaka hapa kiukweli ni kwamba sisi tunakuona tu kama vile ni mmoja kati ya Wafungwa wa Kifikra waliowekwa huko na jeshi la waamuzi wa CCM UFISADI.

Hakika mwenzangu, si kweli tu kwamba vijana mliosoma nao ndio wanaokushangaa; mimi hapa ni kati ya watu nisiokuelewa KABISA ulichokifuata CCM na yule rafiki yetu William Malecela.

Wapenda haki wote wako CHADEMA, Vijana Makini wote wako CHADEMA na hivi karibuni pia tunapanga kuandaa mkakati wa kwenda kuwatorosha gerezani WAFUNGWA WA KIFIKRA KULE UKONGA (lakini wanaojulikana kuwa ni watu makini) wakiwamo Dr Masumbuko Lamwai, Dr John Maghufuli, Samuel Sitta,

... Job Ndugai, Dr Kashilila, Dr Bana, Mwigulu Nchemba, ... na wengine wengi wa aina yao ili waapate tena UHURU WA KIFIKRA na kujitenga mbali kabisa na MAFISADI SUGU ndani ya CCM kwa kujiunga CDM.

Sasa kilichopo ni kwamba ondoka CCM haraka kijana Zainab vijana wenzio tunao mpango na wewe kwa UBUNGE WA KUCHAGULIWA huko Mkoa wa Pwani kupitia tiketi ya CCM sawa na Mpambanaji Shyrose Banji tunavyoendelea kumpigisha jaramba endapo atafaulu mitihani ya chama chetu ili akafikiriwe ubunge wa pale Kinondoni ambako hadi sasa hakuna kiongozi bungeni zaidi ya wasambaza unga kwa Manyanya.


Mtoto wa Rashid Kawawa na mbunge wa CCM Zainab Kawawa amelia machozi katika kikao cha wabunge wa CCM na kusema hii siyo CCM ya baba yake aliyoijua na kwamba hii ni CCM inayoelekea kuzimu kwa vitendo vya ubadhirifu wa mawaziri wake.
Katika hali ya kushangaza wakati akiangua kilio hicho alisema vijana wote aliosoma nao na marafiki zake wanamzomea na kumshangaa kuwa CCM.
Hali hiyo ilisababisha wabunge wenzie ndani ya kikao hicho kupatwa simanzi kubwa na wengine nao walionekana wakifuta machozi.

Source:RAI
 
Mtoto wa Rashid Kawawa na mbunge wa CCM Zainab Kawawa amelia machozi katika kikao cha wabunge wa CCM na kusema hii siyo CCM ya baba yake aliyoijua na kwamba hii ni CCM inayoelekea kuzimu kwa vitendo vya ubadhirifu wa mawaziri wake.
Katika hali ya kushangaza wakati akiangua kilio hicho alisema vijana wote aliosoma nao na marafiki zake wanamzomea na kumshangaa kuwa CCM.
Hali hiyo ilisababisha wabunge wenzie ndani ya kikao hicho kupatwa simanzi kubwa na wengine nao walionekana wakifuta machozi.

Source:RAI

Alilia kwa sababu ya SISIEMU kuelekea kuzimu au kwa sababu ya marafiki zake kumzomea na kumshangaa kwa yeye kuwa ndani ya SISIEMU? Inawezekana alipata emotions alipokumbuka kuzomewa na rafiki zake basi akaona aunganishe na msukule wa SISIEMU ili aonekane anajali. Mbona kwenye zile signature 73 hakuwa mmojawapo? Unafiki tu, kulia hakutoshi....CHUKUA HATUA.
 
Back
Top Bottom