Mtoto wa Kawawa alia CCM inakaribia kufa

Angejua watu waliokuwa wanamsikiliza ni mafreemason mbona angekimbia.Alifikiri yupo na binadamu wenzake ana bahati ametoka salama kwenye hicho kikao.
 
Mnafiki huyo, mbona hakutia sahii ya kutokuwa na imani na utendaji wa Pinda? Isitoshe ubunge wake hauna hata tija, Anaowawakilisha hawamtaki.
Ushauri ni bora uame chama chako cha magamba haraka sana

Huyo ni sawa na maji yaliyotulia!
Siku zote ndiyo inayozamisha!
Jinga kweli!
Si avue gamba chap! Anasubiria nini?
 
Analia nini sasa?

Wana JFnajua kila mtu anao uhuru wa kutoa mawazao yake, lakini nadhani hapa hakuna faida katika kumshambiulia mtoto wa Kawawa bali posit hii ipo kwa ajili ya kukupa ujumbe wa hali ya wanamaghamba ilivyo hivyo kuwapa fulsa makamanda ya kuuda mbinu za kivita kukamata mateka walioishiwa siraha na kuparaganyika wao kwa wao. Tuwe watu wa kupata ujumbe na mantiki yake hapo tutafika. Nadhani maneno yake yanamaana sana kwa jinsi alivyoyasema akiwa ndani ya CCM kuliko ambavyoangeyasema akiwa nje ya CCM. Nawasilisha.
 
Amesema mashost zake wote wapo CDM, yeye anabaki huko ili astolishe na wezi?. Mbona mtoto wa Mashishanga alikimbia chama cha mdingi wake na amehamia artel? anashindwa nini?.
 
Mnafiki mkubwa binti huyo. Naye ni fisadi tu hana lolote. Pale Sinza amejenga viji-apartment vyake uchwara na anakodisha kwa dola, Service mbovu ukiuliza kwanini service mbovu unaambiwa hii ni mali ya Mhe. mbunge kama ukileta maswali mengi utaitiwa polisi. Nilipata ugeni toka Ulaya walifikia pale ukweli wageni wangu walipata shida sana.
 
Anaililia nchi au anaililia CCM? Acha CCM ife nani alimwambia CCM ina hati miliki ya hii nchi.

Huyu analizwa na njaa zake tu, si aje aungane na wakombozi. Mbona Rachel Mashishanga siku nyingi alishaliona hilo la kifo cha CCM na akala kona kwenda Chadema.

PIPOZ .............PAWA
 
Wana JFnajua kila mtu anao uhuru wa kutoa mawazao yake, lakini nadhani hapa hakuna faida katika kumshambiulia mtoto wa Kawawa bali posit hii ipo kwa ajili ya kukupa ujumbe wa hali ya wanamaghamba ilivyo hivyo kuwapa fulsa makamanda ya kuuda mbinu za kivita kukamata mateka walioishiwa siraha na kuparaganyika wao kwa wao. Tuwe watu wa kupata ujumbe na mantiki yake hapo tutafika. Nadhani maneno yake yanamaana sana kwa jinsi alivyoyasema akiwa ndani ya CCM kuliko ambavyoangeyasema akiwa nje ya CCM. Nawasilisha.

Much Respect mkuu.Nimependa ujumbe wako
 
Hayo maandishi mekundu ni kweli siku hizi ukimwona kijana anashabikia CCM lazima atakuwa na roho ngumu si kwamba CDM ni wazuri sana lahasha uozo wa CCM umeifanya CDM ionekane Lulu.
Nadhani ulipaswa uishie .....lazima atakuwa na roho ngumu. Hayo maneno mekundu hapo hayana uhusiano na mawazo yako kuhusu kijana wa leo TZ.
 
CCM si Baba wala Mama yake....ahamie vyama vilivyo na unafuu ukilinganisha na CCM. Kenya Kiongozi Uhuru Kenyata amekiahama chama cha KANU kilichoanzishwa enzi za utawala wa Baba yake na sasa yupo ktk chama kipya.
 
angesaini hoja ya kutokua na imani na waziri mkuu ningemuona ana uchungu na nchi hii,
otherwise ni unafki, kiherehere na siasa za sirname ndo tatizo linalomkabili.
 
Anatafuta masifa, mbona hakutia saini?

Huyo mjanja anatka kuja cdm anashindwa atokeje anadhani chozi litambeba kama alivo kua akilia chifpa, cdm tunataka vichwa kweli sio urembo.
 
Hana lolote ni madeni yanamfanya alie!!tangu lini mchawi akamwonea huruma aliyemloga??
 
Mnafiki huyo, mbona hakutia sahii ya kutokuwa na imani na utendaji wa Pinda? Isitoshe ubunge wake hauna hata tija, Anaowawakilisha hawamtaki.
Ushauri ni bora uame chama chako cha magamba haraka sana

analia kwa sababu anajua kwamba hatapata tena ulaji ccm itakapokuwa chama pinzani.
 
Puppet mkubwa yule aache unafiki kama angekuwa anauchungu kutoka moyo basi angetia saini tatizi wengi la wabunge wa ccm wanahubiri wasichokiamini na wanaamini wasicho kihubiri
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom