Kutokana na maelezo ya mleta mada ni kwamba, linakasirika likisikia mtu anazungumza kinyakyusa kwa vile wanyakyusa walilipiga kwa mawe mahali lilipokuwa mwanzo,ndo kisa cha kuhamia huko lilipo sasa.Mwee....ukizungumza kinyakyusa inakuwaje......?
Kutokana na maelezo ya mleta mada ni kwamba, linakasirika likisikia mtu anazungumza kinyakyusa kwa vile wanyakyusa walilipiga kwa mawe mahali lilipokuwa mwanzo,ndo kisa cha kuhamia huko lilipo sasa.Mwee....ukizungumza kinyakyusa inakuwaje......?
Mkuu Ginner fanya hima tuipate hiyo picha and possibly with related literature,I hope this will add up to Tanzanian discoveries galore.
Hapo sasaMwee....ukizungumza kinyakyusa inakuwaje......?
Mkuu hela ya nini hapo, ni nchi kutokuwa na interest ya kufanya tafiti
a) Hapo ni kumwaga rangi ambayo ni rafiki wa Mazingira na sio sumu kwa binadamu na viumbe vyote vinavyoishi na kutegemea hayo maji na baada ya hapo ni kuyatrace ili kujua yatatokea wapi?
b) unaweza kukata vipande vidogovidogo vya Maboya na kuvimwaga hapo kwenye mto unapozama, kisha unavisubiri kwenye maendeo yanayokisiwa kuwa huo mto ndipo unapotoka
simple kabisa
Hilo shimo kikwetu linaitwa .nduwa. maji yanaweza kuishia mle mle au yakaenda kuibukia mbali sana. pia wanaamini kwenye hilo shimo kuna chunusi au pepo na mara nyingi watu wanapopita jirani wanapotea.
Tumekupata uko sawa kabisa samaki kutokea ndani ya bomba inaonekana mkuu hujaamka bado endelea kulala!!!????????:cool2:na wala sio Hypothesis Mkuu
Hiyo ni Law/Principle,
Mkuu Hiyo dawa inatotiwa kusafisha maji (Shabu), haiwekwi kwenye nyumba ya kila mtu, bali inawekwa kwenye shina la maji, Kama yakiwekwa dawa Ruvu basi mpaka Oysterbay hiyo dawa inafika na saa nyingine unaona Povu jingi na harufu kabisa,
Hivi hujawahi kufungua bomba na wakatoka samaki na maji? same kama ukiweka vipande vya maboya
Kama wanasuspect huo mto unatokea tena sehemu nyingine hiyo ndio njia ya kuprove
Hizi ni simulizi tu, mimi nimetelemka mpaka mdomoni mwa Hilo pango, sikumwona huyo pepo.Hilo shimo kikwetu linaitwa .nduwa. maji yanaweza kuishia mle mle au yakaenda kuibukia mbali sana. pia wanaamini kwenye hilo shimo kuna chunusi au pepo na mara nyingi watu wanapopita jirani wanapotea.
Sijui kwa nini nchi haiwatumii wataalamu kama nyie.Mpka tuite makonsltanti toka ulaya ndo watugundulie. Na kwa wale wanaotafuta reseach topic nadhani hii ndio nafasi yenyewe
Mambo ya Umsolopagaaas na Shoka lake...
Huo mto niliuskia kwa mtaalamu wa mazingira kuwa inasemekana walishautrace kwa kutumia maboya na boya kuonekana ziwa victoria miez kadhaa mbeleni..na picha ya ilo shimo alikuwepo ntafanya liwezekanalo kuipata na kuiweka hapa
Kutokana na maelezo ya mleta mada ni kwamba, linakasirika likisikia mtu anazungumza kinyakyusa kwa vile wanyakyusa walilipiga kwa mawe mahali lilipokuwa mwanzo,ndo kisa cha kuhamia huko lilipo sasa.