Kwa watu tutokao huko Mbeya shimo Hilo linafahamika sana.
Kuna simulizi kuwa miaka ya ukoloni kuna mzungu aliingia humo kufuatilia hayo maji, na akapotea asionekane tena!
Gaboo maji yake ni kama maji ya mito mingine!
Yaani hauna tofauti na mito mingine mbeya ila sema wenyewe baada ya hayo maporomoko hauonekani unaenda wapi!
Hui nadhani MOD atusaidie bse sikumbuki jina la thread ya mwanzo!
Kuna wazungu kama watano ivi niliambatana nao so kila nkipata mda ntakuwa napita na watu ili kwa level yangu niwe nimefanya kitu na sio kubaki kuilaumu Serikali!
Kwanza Mamdenyi naomba niambie maana ya nduwa...na hiyo ni kabila gani?
Stuxnet na wengine niambieni huo mto ngozi huko uporoto una maajabu gani?