Kuna post iliwai kuwekwa umu kuhusu huu mto ambao upo just after TAZAMA pipeline pumping station iliyopo maeneo ya Inyara Mbeya.
Sasa ni habari ktk picha
View attachment 51619Maji ya mto ndo yanaelekea kushuka kwenye ilo sijui niseme handaki au sijui shimo
View attachment 51620Maji ndo yanaingia kwenye ilo shimo ambapo baadhi ya wenyeji wanasadiki kuwa hayo maji huenda kuibukia mikoa ya kati uko msotly Tabora au Singida kwa mujibu wa vitu vilivyowai tupwa umo na kuibukia uko!
View attachment 51621View attachment 51621Ni meter chache tuu toka TANZAM highway kwenda kwenye ayo maporomoko ni baada tuu ya izo nyasi fupi kabla ya mwinuko wa ako kamsitu kaliko mbele ya mlima
Basi tuu kwa kuwa nchi yetu maskini tuu ila apo tungeweza pata HEP na vile vile kufanya tafiti kujua hayo maji yanaibukia wapi?
Usiju kuta maajabu yake yanaweza kuwa tourist destination
Usijidai hujui kuwa niye mnao jiita WABONGO ni MABONGOLALA.Mbaya zaidi cha maana walichofanya ni kufweka njia ya kwenda uko ila eneo kuzunguka maporomoko ni vichaka tuu yaani huwezi pata picha vyema!
Tz ni zaidi ya uijuavyo alafu huwezi amini aliyenipeleka apo ni mzungu!
Yaani kwao Ulaya ako kaeneo wanakajua ila mimi Mtz nilikuwa sikajui mpaka aibu
BONGO LALA wanajivunia shahada zao za UDSMNikweli huo mto haujulikani unapoibuka? Kama ndio hivyo hawa ma geologist wetu wanafanya kazi gani
Aisee! We si Mwanasayansi wewe?Kwa watu tutokao huko Mbeya shimo Hilo linafahamika sana.
Kuna simulizi kuwa miaka ya ukoloni kuna mzungu aliingia humo kufuatilia hayo maji, na akapotea asionekane tena!
Mkuu, nakusifu sana kwa kufuatilia hii story toka ilipoletwa na mdau mmoja!
Umefanya kazi ya heshima sana mkuu. HongerA
Naahidi nikipita kuelekea kwangu Zambia nitapitia hapo mahala nishangae kidogo!
Njowepo Bravo to you, uliahidi na umetimiza. Nawaomba MODS kama wanaweza waichanganye thread hii na ile ya last month. Au Njowepo mwenyewe uitafute uunganishe , it will be a valuable spurce of info.