Msimamizi wa uchaguzi Arumeru anastahili

huyu ndio alisimamia uchaguzi wa tarime baada ya kifo cha chacha Wangwe na chadema ikashinda huyu anatenda haki ila ccm watamchukia sana na ikiwezekana watamhamishia wilaya chovu kama nkasi au kasulu nk

Kasulu unaijua?Au unazungumza tu
 
We need people like Kagenzi! Big up, mzee Mungu akupe maisha marefu kwa kuepuka vurugu ambazo zingeweza kutokea kama haki na sauti ya Wana Arumeru ingepokwa.
 
Msimpatie SIFA asizositahili Si ndiye huyu Kagenzi aliyesimamia uchaguzi wa 2010 ambapo alimchakachua Nassari in favour of the late Jeremiah Sumari. This time 2012 MAKAMANDA walikuwa wamebana kila mahali hakuwezi kuchakachua. Ndiyo maana wakati wa ZOEZI la kufanya MAJUMUISHO alionekana kuwa UNINTERESTED na kila mara kuwaachia maofisa wa TUME ya UCHAGUZI kufanya majumuisho ya kura yeye akiwa busy na SIMU yake, ili kutimiza msemo wa WAHAYA wenzake usemao "KITANDUGAO"

Kama mtamfanya SHUJAA na KUMUAMINI next time atawashangaza.
 
Sina hakika sana kama 2010 kagenzi alikuwa Arumeru,Nadhani walikuwa na Mkurugenzi mwingine.Mwenya taarifa kamili atujuze hili.
Nawasilisha
 
Hongera sana Mr Kagenzi! Ila subiri demotion chezea gamba wewe.
Nilikuwa ninawaza hilo hilo na kunapahali jana nili"comment" hivyo, kuwa huyu jamaa hatadumu, adhabu nyepesi "atapangiwa kazi nyengine" au "watamMwakyembe, watamMalima au watamSokoine".
 
huyu ndio alisimamia uchaguzi wa tarime baada ya kifo cha chacha Wangwe na chadema ikashinda huyu anatenda haki ila ccm watamchukia sana na ikiwezekana watamhamishia wilaya chovu kama nkasi au kasulu nk

Nami nimemkubali sana,labda na Lubuva anataka tuende kwa mstari.
 
"MSIMAMIZI wa uchaguzi wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Trasias Kagenzi, amesema kamwe hawezi kusahau uchaguzi mdogo kutokana mvutano mkubwa uliokuwapo baina ya wafuasi wa CCM na Chadema."

"Niliyoyaona uchaguzi huu, kamwe sitayasahau maana ninaweza kupata PhD (Shahada ya Uzamivu) kupitia uzoefu niliopata kwenye uchaguzi huu," alisema Kagenzi.

"Nilimuomba Mungu aniwezeshe kutenda haki na nilichokifanya ni kutenda haki, kwani mimi siwezi kumpendelea mtu au chama chochote au kuhujumu mtu au chama chochote cha siasa," alisema Kagenzi.
Siku ya kuapisha mawakala wa chadema alitaka kutandikwa baada ya kukosa majibu ya kwanini form namba 17 inayotumika kumruhusu mtu kupiga kura hata kama hana kadi imradi kwene daftari yupo waliizuia isitumike chaguzi hizi... Kagezi alijikanyaga vijana wakataka wamchangamshe amshukru kamanda Lema.....
 
Nilikuwa ninawaza hilo hilo na kunapahali jana nili"comment" hivyo, kuwa huyu jamaa hatadumu, adhabu nyepesi "atapangiwa kazi nyengine" au "watamMwakyembe, watamMalima au watamSokoine".

Watakuwa wamemuoea kwa kiwango cha juu sana hakika chadema safari hii walikuwa wamejipanga mno ukiachilia mbali mawakala kuwa makini kulikuwa na gari za vijana wakazi walikuwa wana patrol huku helicopter ikilanda landa hewani...chezea chadema wewe
 
Kagenzi pekee ndiye aliyetengeneza historia ya kuiacha CHADEMA ishinde katika chaguzi ndogo mbili hapa nchini ambazo CHADEMA iliwahi kushinda. Huu waweza kuwa ni ushahidi tosha kwamba sehemu zingine kama vile Busanda, Igunga etc, wakurugenzi hawakuwa fair. Iweje ushindi wa CHADEMA utokee kule anakosimamia Kagenzi tu. Tutafute namna ya kumtuza huyu mtu. Ametengeneza historia ya aina yake hapa nchini.
 
huyu ndio alisimamia uchaguzi wa tarime baada ya kifo cha chacha Wangwe na chadema ikashinda huyu anatenda haki ila ccm watamchukia sana na ikiwezekana watamhamishia wilaya chovu kama nkasi au kasulu nk
atakuwa na bahati mbaya kila anapoenda kusimamia chadema wana weka ulinzi wa uhakika....
 
Huyu ni moja ya mashujaa wa demokrasia Tanzania, kama haki inatendeka hakuna vurugu wala fujo

Ndo maana wabunge wa CCM hawawataki kabisa Wakurugenzi kusimamia mchakato wa kukusanya maoni ya katiba mpya.
 
Nilikuwa ninawaza hilo hilo na kunapahali jana nili"comment" hivyo, kuwa huyu jamaa hatadumu, adhabu nyepesi "atapangiwa kazi nyengine" au "watamMwakyembe, watamMalima au watamSokoine".

watamnyerere, bwm. Hon
 
Ni kama yule wa Musoma, aliyemtangaza Vincent Nyerere mapemaaaaaaaaa kabla maeneo mengine hayajatangaza wabunge walioshinda. Nchi itatawalika iwapo kila kitu kitaenda kama inavyotakiwa kiwe
 
Back
Top Bottom