Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

wabaya huwa tunawasaidia sometimes..lol
Kwa hiyo the Boss, uzuri ni relative term so huyo uliomwona mzuri akabaniwa na mashosti zake, itakujatokea na yeye akambania mwenzake alie mzuri zaidi yake and the stories goes on...!
 
Kwa hiyo the Boss, uzuri ni relative term so huyo uliomwona mzuri akabaniwa na mashosti zake, itakujatokea na yeye akambania mwenzake alie mzuri zaidi yake and the stories goes on...!
Homenboy najua wewe haujawahi kukutana na matuta
 
Huyo atakuwa zuzu, unless hakukupenda kabisa . yaani marafiki wanibanie kisa!!! we ungemwachia business card yako angekutafuta wakati yuko peke yake

we huwajui wasichana wengine...
unatoa bussiness card,wanapokea wenyewe kwa jinsi walivyo kimbelembele
au unaondoka tu
wanaanza comments negative kwa sababu ya wivu..tu
 
we huwajui wasichana wengine...
unatoa bussiness card,wanapokea wenyewe kwa jinsi walivyo kimbelembele
au unaondoka tu
wanaanza comments negative kwa sababu ya wivu..tu
Watacomment atawasikiliza ila akirudi home yuko peke yake atakupigia tu kama amewaka kwako
 
Kwa hiyo the Boss, uzuri ni relative term so huyo uliomwona mzuri akabaniwa na mashosti zake, itakujatokea na yeye akambania mwenzake alie mzuri zaidi yake and the stories goes on...!

yule anae shine kuliko wenzie ndie anaebaniwa...
i mean hata yule anaonekana yuko more sophisticated pia...
 
:hug:...... he he.....bahati mbaya mimi sinaga mashost nina machalii tuu...sasa sijui na hii inakaaje
Machalii ndio kabisa huwa wanasikia wivu ukitongozwa hivo wanaweza hata kupiga mtu ngumi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom