Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Hii club ni ya Freeman Mbowe ambaye pia ni muhudhuriaji mzuri tu pale na anaona kila kitu.
siasa!
Hii club ni ya Freeman Mbowe ambaye pia ni muhudhuriaji mzuri tu pale na anaona kila kitu.
There are currently 38 users browsing this thread. (22 members and 16 guests)
naona viongozi wote wako hapa leo.................!:eyeroll2:
- father-xmas
- Dark City
- Bantugbro
- Eeka Mangi
- Maamuma
- ADUI
- kasopa
- The Finest
- araway
- Mgalanjuka
- Chamkoroma
- babukijana
- nyikanavome
- Jeni
- PingPong
- Chonya
- Maria Roza+
- Kicheruka
- Consultant
- Jafar
- Kalimwage
- Dina
ni hilo tumbo au....................!:becky:
Eti Faza Krismas we vipi huli hako kakitu kakikutokea kunako kona zako? Sema ukweli lol
hapana mangi.................!
faza xmas napenda maza xmas aliyekomaa..............!
hivi vifaranga ni kujitafutia kesi na dhambi za bure tu.............!
under age!
siasa!
Facts.
Jamani hapa ni Bilicanas sio San Ciro walianzia kulewa San Ciro wakaja Bilicanas, nilipoona kazidiwa na kilevi kama mwanamke nikamwambia nitakulipia taxi nenda nyumbani akakataa eti hajalewa baadaye wakamwokoa vijana flani sijui jirani zake kutoka mikononi mwa muhindi aliekuwa anamnunulia pombe aondoke nae.
Hapo hatuna mtoto ni changudoa mtarajiwa.
unataka contact details zake?LIYUMB akitoka sero .......................................................................haka sio kasaniiiiiiiiii,nani anakachakachuaaaaaaaa
unataka contact details zake?
Mbona hamna anayesema kiliendelea nini baada ya hapo??layball:
Dada D., Usitupe jongoo na jiti lake...
Sijui umri wake, lakini yaonekana ni teenager fulani hivi and possibly under 18. If my guess is right, why the hell did the club serve her alcoholic drinks? Au hatuna sheria za kukatalia kuuza au kununulia pombe watoto wenye umri mdogo?!
Again, kwa mwonekano tu kama picha hizi zilivyo; huyo dada bado anasafari kubwa mbele yake. Na kwa wazazi wake au walezi kama wanamthamini na kumpenda ipasavyo, bado ana muda wa kujutia haya, kujirekebisha na kuweza hata kuwa mfano wa kuigwa kwa wengine. Kumwita "changudoa mtarajiwa" based on this single incident ni kumtakia mabaya binti huyo na kamwe si jambo jema. She has to be encouraged to change and overcome her problems instead of being condemned.
I wish ilikuwa mara ya kwanza kukutana nae akiwa kwenye a compromising situation ni mara kadhaa nami sio ndugu wala jamaa yake kumfatilia kila mara na sitoki out kila mara.