Msanii Lulu ajishushia hadhi kwa kuendekeza pombe!

Status
Not open for further replies.
We kweli paka mweusi na haufai katika jamii na ni wakupigwa mawe kama paka weusi wenzako tulivokuwa watoto.[/QUOTE]

:becky::becky::becky:Duh ulivyokuwa mtoto ulikuwa paka mweusi na kupigwa mawe Kaaaaaaazi kwelikweli Paka Mweuthi mie wala thikupigwa na majiwe nilivyokuwa mtoto
 
3025007.jpg

lulu akiwa chakari baada ya kulewa pombe za muhindi
avua nguo ukumbini (global publishers)

sina hata la kusema maana nilikua nawaomba wakaka wamuache "mtoto" akue lkn naona mtoto kakua hadi kunipita mie dada yake!

.....:a s-danger:hivi kwa nini waaruhusu watoto kuingia ktk sehemu za starehe usiku:a s-danger:
Binti anatia aibu!!
Binti anatia huruma!!
Is this the begining of her end??

ndo kwisha habari yake. Unataka kutuambia na hii ni photoshop? Mtoto akililia wembe mpe, atakapo pata vidonda atauogopa. Lkn hapo itakuwa too late
 
3025007.jpg

LULU AKIWA CHAKARI BAADA YA KULEWA POMBE ZA MUHINDI
AVUA NGUO UKUMBINI (GLOBAL PUBLISHERS)

sina hata la kusema maana nilikua nawaomba wakaka wamuache "mtoto" akue lkn naona mtoto kakua hadi kunipita mie dada yake!

.....:A S-danger:hivi kwa nini waaruhusu WATOTO kuingia ktk sehemu za starehe usiku:A S-danger:
binti anatia aibu!!
binti anatia huruma!!
is this the begining of her end??
3025007.jpg

mtu akiupenda ulimwengu kumpenda Mungu hakumo ndani yake hayo ni matunda kuongozwa na starehe za dunia,
na baadae inakuacha hohe hahe wa kutojitambua eeee Mungu saidia kizazi hiki!!!
 
:shocked: Shocking! Naanza kuwa na wasiwasi na kinywaji cha Savanna Dry Cider. After- effect yake yaweza kuwa kusaula...
Inavyopendwa na mabinti..
 
16 yrs old

Kama umri ndiyo huu, wazazi/walezi wamtoto wanaweza kabisa kushupalia hii swala hata kulipeleka mahakamani ikiwezekana. Hata kama mtoto ni mtukutu, jambo la hiyo baa kukubali kumuuzia pombe ni kinyume cha sheria haijalishi tabia yake.
 
Mkuu wewe ungefanya hivyo?? Namaanisha kuishtaki bar....
Kwa mazingira ya kitanzania, huyo mzazi alikua wapi hadi mtoto aende night club??? Zile nguo??? Ni jambo la aibu na mzazi mwenye staha hatathubutu kujitokeza hadharani na kumshtaki yeyote!
 
Daaaaah kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, hiki kitoto juzi juzi tu tunakiona kinaact na leo watu wanakihemea kifuani na mgongoni? Hivi shule kinaenda kweli au ndo kimeshajua jiji sasa kina elimu ya chuo kikuu, maana mjini shule. Mi nawalaumu wazazi wake kwa kukiachia wakimege na kulewa kama ahamada na nafikiri nao walimpata kwenye mazingira hayo hayo maana mtoto wa nyoka ni nyoka.Basi sisi yetu macho maana "MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI".
 
Dada huyo Lulu mbona mkubwa kuna wengine siku hiyo hata kaunta walikuwa hawafikii wanakuomba uwanunulie soda sasa akipata wakumnunulia bia si ndio basi tena.

inackitisha sana, sasa mtoto mdogo kama huyu kuanzana na wahindi kwa umri huu akifikia 25 atakuwa kaha date na wachina, wasomali, na makorokoro yote...jamani, hako ka blauzi kake kalikubwa na maswahiba gani.?
 
Daaaaah kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, hiki kitoto juzi juzi tu tunakiona kinaact na leo watu wanakihemea kifuani na mgongoni? Hivi shule kinaenda kweli au ndo kimeshajua jiji sasa kina elimu ya chuo kikuu, maana mjini shule. Mi nawalaumu wazazi wake kwa kukiachia wakimege na kulewa kama ahamada na nafikiri nao walimpata kwenye mazingira hayo hayo maana mtoto wa nyoka ni nyoka.Basi sisi yetu macho maana "MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI".

jamani tucseme hivyo, huyu mtoto anaweza akawa kaaga tofauti huko nyumbani kumbe kafungasha hivyo vijinguo vyake akaenda kuvibadilishia mbele ya safari, hakuna mzazi anaependa kuona mtoto wake anakuwa kituko hivi jamani, inaumiza sana hasa kwa mama akimuona binti yake ya uvaaji huo inauma sana jamani...
 
Kama umri ndiyo huu, wazazi/walezi wamtoto wanaweza kabisa kushupalia hii swala hata kulipeleka mahakamani ikiwezekana. Hata kama mtoto ni mtukutu, jambo la hiyo baa kukubali kumuuzia pombe ni kinyume cha sheria haijalishi tabia yake.
Mkuu ni kweli kabisa, kama ni minor hawa akina shigongo watalipa hadi wafunge biashara

Hapa ndio huwa sielewagi role akina TGNP na wanaharakati wengine, ni mabingwa wa makongamano tu, hamna kitu zaidi ya kula donors money

This lady needs help and protection, she is very young
 
Alidhani chai kumbe inafanya mawenge wenge.
Huyu mwenye Bar lazima ashtakiwe kwa kuruhusu watoto wadogo kuingia na kunywa pombe ikiwezekana anyang'anywe leseni au mnataka mpaka afe mtoto kwa kuzidisha kilaji ndo mmshughulikie?
 
Jamani ndugu zangu,
This is very dissapointing to me to see this. Nakumbuka jana usiku to be exact nilikuwa namuangalia huyu Binti katika kipindi cha Bongo Movie cha Joyce Kiria pale EATV. Yaani jana. Binti alikuwa anaongea kwa pointi sana na kuwasema watu wanaomsema kuwa ana tabia mbaya. Yeye alidai kuwa hayo yote ni majungu. I cant imagine kile nilichokuwa nakiona jana na kumsifia huyu binti na haka ka malaya nakokakuta huku.
I am dissapointed to say the least.

Looks can be deveiving!!!!
3025007.jpg

LULU AKIWA CHAKARI BAADA YA KULEWA POMBE ZA MUHINDI
AVUA NGUO UKUMBINI (GLOBAL PUBLISHERS)

sina hata la kusema maana nilikua nawaomba wakaka wamuache "mtoto" akue lkn naona mtoto kakua hadi kunipita mie dada yake!

.....:A S-danger:hivi kwa nini waaruhusu WATOTO kuingia ktk sehemu za starehe usiku:A S-danger:
binti anatia aibu!!
binti anatia huruma!!
is this the begining of her end??
 
Maskini hawa watoto wame ghilibiwa na nini?! Kwenda club mpaka uwe uchi kiasi hicho? Na hayo matumbo jee yamefikwa na kadhia gani?

Mwenye club ashitakiwe ....watetezi wa haki za watoto mko wapi?
 
Wandugu,

Hapa naona kuna mawili:

1. Tumeliwa na hakuna kitu kama hiki. Angalia kinguo alichovaa kwenye hizi picha mbili tofauti. Inaonekana hii kitu imepikwa tu ili kumpandisha binti wa watu chart. Hapa inaonekana alikuwa STUDIO au nyumbani na chini yuko Club na amevaa kinguo hicho hicho (kikaptura). Pia chunguza heleni zake.

DSC06787.JPG

2. Huyu binti na masikini saaana na aka kinguo (kikaptura) vichache sana kiasi kwamba anakivaa hicho hicho akiwa kazini/nyumbani na akienda Club. Naombeni wengine mchunguze hilo na mtoe maoni yetu. Isijekuwa Shong'ong'o katuingiza tena mjini.

3025007.jpg

Kavaa ki-bra Cheuzi kwenye picha zote mbili. Pia ujumbe namba 95 wa Mfunyukuzi, unaona kavaa mkufu ule ule. Ehhh, Ngosha naomba Chenji zangu maana picha nimelishtukia.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom