Msanii Lulu ajishushia hadhi kwa kuendekeza pombe!

Status
Not open for further replies.

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
3025007.jpg

LULU AKIWA CHAKARI BAADA YA KULEWA POMBE ZA MUHINDI
AVUA NGUO UKUMBINI (GLOBAL PUBLISHERS)

sina hata la kusema maana nilikua nawaomba wakaka wamuache "mtoto" akue lkn naona mtoto kakua hadi kunipita mie dada yake!

.....:A S-danger:hivi kwa nini waaruhusu WATOTO kuingia ktk sehemu za starehe usiku:A S-danger:
binti anatia aibu!!
binti anatia huruma!!
is this the begining of her end??
 
Hiyo klabu aliyoingia masharti ni kuacha nguo mlangoni/getini? Mbona kama hajaenda na nguo!
 
heeee! club gani hii jamani? siamini kama kuna club inaruhusu watoto kuingia uchi
 
IMG_3825.jpg

LULU AKIWA CHAKARI BAADA YA KULEWA POMBE ZA MUHINDI
AVUA NGUO UKUMBINI (GLOBAL PUBLISHERS)
[

sina hata la kusema maana nilikua nawaomba wakaka wamuache "mtoto" akue lkn naona mtoto kakua hadi kunipita mie dada yake!
.....:A S-danger:hivi kwa nini waaruhusu WATOTO kuingia ktk sehemu za starehe usiku:A S-danger:
binti anatia aibu!!
binti anatia huruma!!
is this the begining of her end??

cheusimangala mbona mie sioni picha ?
 
Jamani mbona mi sielewi, dunia ndio inaisha au inaanza? mbona kama dunia inajizungusha katika mhimili wake ndivyo sivyo?
 
Na wazazi tuko wapi.......?

watoto wa siku hizi wengi vichwa maji, hata mzazi umlee vipi, kudata mtindo mmoja, last week nilisikia watoto wa STD.7 katika shule moja wamekamatwa wanafanya engagement party darasani, kazi ipo.
 
watoto wa siku hizi wengi vichwa maji, hata mzazi umlee vipi, kudata mtindo mmoja, last week nilisikia watoto wa STD.7 katika shule moja wamekamatwa wanafanya engagement party darasani, kazi ipo.
Hamna lakini sometimes-most of the times actually: wazazi tunazembea sana kuwaangalia watoto,
we dont care to learn their new changes/interests - tunapiga kelele tu "acha hiki" badala ya kumkalisha
chini na kuongea naye kama rafiki....kumuelewesha
 
girl .....u need a proper fitting bra and you need to work on that kitambi. :confused2:
 
girl .....u need a proper fitting bra and you need to work on that kitambi. :confused2:

Hiki ndo nnachokupendea Mwalimu......hakuna kulalama kama wengine we unatoa ushauri tuu!! ivi tatizo la hiyo bra ni rangi ama?:violin:
 
Madada wa JF mnabania sana kampani zenu.
wacha nikajichakachue Sun Ciro
Thanz CheusiMangala kwa kuniwekea post hii.
Binti anavutia na anatafunika mapishi yote walah. Tena akilewa anakuwa na jicho dodo napata wazimu mie.
Mabinti YATIMA kama hawa ndo nawataka mie. (Kama angekuwa na wazazi she should be at home such times)
 
hata mie naona inakwenda anticlockwise!

Ndo vizuri maana ikienda anticlockwise umri wetu nasisi unarudi ujana!!!Duh!kha mtoto mteke lakini huyo matundu yote seal hakuna ndo tabu nasisi tunaogopa aibu kuchekwa sijazoea!:becky:
 
Mtoto kaonekana kwenye Luninga anataka kuvamia dunia,sasa kwa taarifa yake dunia itamvamia na si yeye kuivamia dunia,Shetani akishakuaibisha anakaa pembeni kuangalia jinsi unavyohangaika kuifuta aibu kwa garama kubwa na kabla hujaifuta inaibuka nyingine,si ajabu kabla hata ya wiki wakampiga picha za utupu baada ya kuleweshwa,binti kama huyu kajifunza ulevi hata senti za kunywa hana mpaka apate wa kumpa ofa si hatari hii,maana vile vimaigizo hata havina mafao ya kumuwezesha kwenda club na yeye ni msanii ili aonekane wa kisasa analazimika kwenda club kwa kudandia wahindi,kazi kwake dunia ni kuuubwa sana itamfunza tu maana hakufunzwa hapo awali!!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom