Msanii Lulu ajishushia hadhi kwa kuendekeza pombe!

Status
Not open for further replies.
wa wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....wahapahapaaaaaaaaaaa......... bullshit!!:smile-big::smile-big:
 
There are currently 38 users browsing this thread. (22 members and 16 guests)
naona viongozi wote wako hapa leo.................!:eyeroll2:

ni hilo tumbo au....................!:becky:

Eti Faza Krismas we vipi huli hako kakitu kakikutokea kunako kona zako? Sema ukweli lol
 
Eti Faza Krismas we vipi huli hako kakitu kakikutokea kunako kona zako? Sema ukweli lol

hapana mangi.................!
faza xmas napenda maza xmas aliyekomaa..............!
hivi vifaranga ni kujitafutia kesi na dhambi za bure tu.............!
 
huyo jamaa aliyekaa kwa nyuma yake ooh, atakua alijichapia tu!
 
hapana mangi.................!
faza xmas napenda maza xmas aliyekomaa..............!
hivi vifaranga ni kujitafutia kesi na dhambi za bure tu.............!

Huyu anakumeza anakutema viatu Faza. Kwani wala hawa wanashtaki basi? Labda uwarushe mshiko wao utakoma.
 
Jamani hapa ni Bilicanas sio San Ciro walianzia kulewa San Ciro wakaja Bilicanas, nilipoona kazidiwa na kilevi kama mwanamke nikamwambia nitakulipia taxi nenda nyumbani akakataa eti hajalewa baadaye wakamwokoa vijana flani sijui jirani zake kutoka mikononi mwa muhindi aliekuwa anamnunulia pombe aondoke nae.

Hapo hatuna mtoto ni changudoa mtarajiwa.

Dada D., Usitupe jongoo na jiti lake...

Sijui umri wake, lakini yaonekana ni teenager fulani hivi and possibly under 18. If my guess is right, why the hell did the club serve her alcoholic drinks? Au hatuna sheria za kukatalia kuuza au kununulia pombe watoto wenye umri mdogo?!

Again, kwa mwonekano tu kama picha hizi zilivyo; huyo dada bado anasafari kubwa mbele yake. Na kwa wazazi wake au walezi kama wanamthamini na kumpenda ipasavyo, bado ana muda wa kujutia haya, kujirekebisha na kuweza hata kuwa mfano wa kuigwa kwa wengine. Kumwita "changudoa mtarajiwa" based on this single incident ni kumtakia mabaya binti huyo na kamwe si jambo jema. She has to be encouraged to change and overcome her problems instead of being condemned.
 
LIYUMB akitoka sero .......................................................................haka sio kasaniiiiiiiiii,nani anakachakachuaaaaaaaa
 
unataka contact details zake?

Mwelekeze aje Kanisani Masa Evangelical Church, amuulizie Mchungaji Masanilo. Tunatawi Kule Mkuranga wahudumu wataniunganisha naye anahitaji ombezi la Kiroho
 
Dada D., Usitupe jongoo na jiti lake...

Sijui umri wake, lakini yaonekana ni teenager fulani hivi and possibly under 18. If my guess is right, why the hell did the club serve her alcoholic drinks? Au hatuna sheria za kukatalia kuuza au kununulia pombe watoto wenye umri mdogo?!

Again, kwa mwonekano tu kama picha hizi zilivyo; huyo dada bado anasafari kubwa mbele yake. Na kwa wazazi wake au walezi kama wanamthamini na kumpenda ipasavyo, bado ana muda wa kujutia haya, kujirekebisha na kuweza hata kuwa mfano wa kuigwa kwa wengine. Kumwita "changudoa mtarajiwa" based on this single incident ni kumtakia mabaya binti huyo na kamwe si jambo jema. She has to be encouraged to change and overcome her problems instead of being condemned.

I wish ilikuwa mara ya kwanza kukutana nae akiwa kwenye a compromising situation ni mara kadhaa nami sio ndugu wala jamaa yake kumfatilia kila mara na sitoki out kila mara.
 
Haka katoto kanakuja kwenye fani ya filamu ndivyo sivyo....
DSC06787.JPG
 
double D huo mkono kwa nyuma hapo ni wako wakati unafanya jitihada za kukaokoa

aisee yaani kamechakachuliwa hadi basi tu.
 
I wish ilikuwa mara ya kwanza kukutana nae akiwa kwenye a compromising situation ni mara kadhaa nami sio ndugu wala jamaa yake kumfatilia kila mara na sitoki out kila mara.

Ni mara ngapi umeonana na huyo Dada katika kumbi za starehe?na ni mara ngapi umeonana nae katika Club uliyoitaja awali?...Nimempitishia mmoja wa wamiliki wa Club hiyo,nae kwa maelezo yake ni kwamba wana sheria ya kuzuia watoto wadogo kuingia katika Club yao,wanafahamu adhari ya watoto wadogo kushiriki starehe, si wa kike tu pia wa kiume...ameomba kujua tukio hilo ni la lini (siku/tarehe) ili awasiliane na Meneja muhusika kwa sababu ni kinyume na taratibu zao...Amedai ni jukumu lao kuzuia watoto wadogo kuingia ktk Club yao...Lakini pia si rahisi kujua umri wa watoto hao kwa sababu hakuna uthibitisho zaidi ya muonekano wa muhusika na maelezo yake mwenyewe.Amesisitiza kuwa ni vyema Wazazi/raia wema washiriki katika kuwaonya watoto athari za starehe kabla ya umri wao.
Nafikiri ni wakati muafaka sasa kwa Wazazi kutoruhusu Watoto wadogo kushiriki namna yoyote ya starehe za usiku.Ndg Diana kama unajua siku ya Tukio usisite kuwasiliana na wahusika katika ofisi zao na wasiliana na afisa utawala kwa jina la Tonny.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom