Msanii Lulu ajishushia hadhi kwa kuendekeza pombe!

Status
Not open for further replies.
Nasikia pia kale kabinti ktk tangazo la ukimwi la SIDANGANYIIIKI kanalea mimba sasa baada ya kupigwa ofa ya pongezi ya bia kadhaa kule buguruni kwa kutoa tangazo kali linalowahusu vijana, mafataki na watoto
 
Alidhani chai kumbe inafanya mawenge wenge.
Huyu mwenye Bar lazima ashtakiwe kwa kuruhusu watoto wadogo kuingia na kunywa pombe ikiwezekana anyang'anywe leseni au mnataka mpaka afe mtoto kwa kuzidisha kilaji ndo mmshughulikie?
Chamber???:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Alidhani chai kumbe inafanya mawenge wenge.
Huyu mwenye Bar lazima ashtakiwe kwa kuruhusu watoto wadogo kuingia na kunywa pombe ikiwezekana anyang'anywe leseni au mnataka mpaka afe mtoto kwa kuzidisha kilaji ndo mmshughulikie?

katika siku ulizowahi kuongea point na leo ni mojawapo.lakini tusilaumu wamiliki wa bar tu,na sie wazazi tunafanya nini?
 
hiv wenzie akina Manongi Sinta a.k.a J Lo, a.k.a al Qaeda (RIP chifp) waliishia wapi vle??
 
Yaani hata aibu haoni eti lile vazi ni la kawaida! Mtoto hata haya kubakia na brazia ni vazi la kawida? Mfundeni huyu mtoto akina mama!
 
mtoto kesha kubuhu ........

ukienda kumfunda kaa yule anakufunda wewe
 
Chunguza post yako ndugu yangu utajua umeanza kuhusisha na siasa hii post
Kama mmiliki wa club ni mwanasiasa nayeomba idhini ya watanzania .. kwanini asihusishwe!.. mtoto wa miaka 16 kaleweshwa ndani ya club yake! inabidi achukuwe hatua kuonesha kuwa anajali:confused2:
 
Jamani hapa ni Bilicanas sio San Ciro walianzia kulewa San Ciro wakaja Bilicanas, nilipoona kazidiwa na kilevi kama mwanamke nikamwambia nitakulipia taxi nenda nyumbani akakataa eti hajalewa baadaye wakamwokoa vijana flani sijui jirani zake kutoka mikononi mwa muhindi aliekuwa anamnunulia pombe aondoke nae.

Hapo hatuna mtoto ni changudoa mtarajiwa.
huyu DD si ndio yule alitoa topic moja kuwa anapenda sana kusagana? Au nakosea mimi? Na hii taksi aliyotaka kumlipia mmmmh, sijui, nway nawaza kwa sauti tu
 
Alafu hii CLUB SI INAMILIKIWA NA YULE JAMAA WA CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe!!!?? Yaani Mtiririko wa fedha wa chadema ni mchafu na unachafuwa future ya taifa letu hili alafu 2015 atagombea urais kupitia chadema na nchi nzima itakuwa ya walevi. :becky::becky: MSINIFUNGIE JAMANI.. ila ndio ukweli!

haya yametoka wapi ?
 
Mnashangaa nini.....siku hizi mabinti wanaanza kuchakachuliwa wakiwa darasa la nne!! Mbona huyu kesha zeeka sasa, alianza kuchakachuliwa toka enzi hizo na kina Kanumba, Ray, Simulenga na Tino!!
 
Mnashangaa nini.....siku hizi mabinti wanaanza kuchakachuliwa wakiwa darasa la nne!! Mbona huyu kesha zeeka sasa, alianza kuchakachuliwa toka enzi hizo na kina Kanumba, Ray, Simulenga na Tino!!

darasa la nne hapo kajitahidi kuna kamoja kalikuwa la pili libaba limeoa likaanza kukachakachua maticha waliposhituka na kukaita ofisini baada ya kukabana kakaeleza kila kitu ..cjui dunia inaelekea wapi?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom