Msanii Lulu ajishushia hadhi kwa kuendekeza pombe!

Status
Not open for further replies.
Sunsiro haturuhusi ni mchana tena Jumapili ndo kuna watoto, hii ni BILLCANAS.

Walitokea San Ciro,inasikitisha club zote wanaingia watoto wadogo zaidi ya Lulu na kuangukia mikononi mwa mabaradhuli wanao wanunulia chakula na pombe na labda hata kuwachanganyia madawa wakawape Ukimwi.
 
maskini ......kumbe ni mdogo hivyo bado.

lingetokea la kumdhuru hizo clubs zikashitakiwa ndio wangekoma kabisa.
 
Kwa umri huo wa miaka 17.Ni mdogo mno,na kutakuwa kuna tatizo kubwa katika jamii nzima si suala la Lulu tu,hata wanaomiliki hiyo Club wanapaswa wawe waangalifu na kutowaruhusu watoto wadogo kama Lulu kuingia katika nyumba za starehe.Tunajenga Jamii mbovu mno kimaadili kwa kufumbia macho mambo haya!
 
aaaagh| kumbe hamna lolote tumbo makunyanzi, bra oversize, inshort ndo wale ambao wanatakiwa kuwa uchi ****** na bafuni tuu.
 
maskini ......kumbe ni mdogo hivyo bado.

lingetokea la kumdhuru hizo clubs zikashitakiwa ndio wangekoma kabisa.

Kwa umri huo wa miaka 17.Ni mdogo mno,na kutakuwa kuna tatizo kubwa katika jamii nzima si suala la Lulu tu,hata wanaomiliki hiyo Club wanapaswa wawe waangalifu na kutowaruhusu watoto wadogo kama Lulu kuingia katika nyumba za starehe.Tunajenga Jamii mbovu mno kimaadili kwa kufumbia macho mambo haya!

Hii club ni ya Freeman Mbowe ambaye pia ni muhudhuriaji mzuri tu pale na anaona kila kitu.
 
sawa maadili yameporomoka si kuanzia kwa viongozi wa dini, wataalmu, na mpaka wanasiasa..........lakini tungetegemea wanasiasa wetu waweze kusimamia sheria.

kumruhusu mtoto kuingia club ni uvunjaji wa sheria, kumruhusu kununua pombe pia ni ukiukaji wa sheria.

kweli labda hakuwa akiinunua yeye hiyo pombe alikuwa akinunuliwa na huyo mhindi, lakini kumruhusu mtu kuvunja sheria ndani ya himaya au mamlaka yako huku unamuona pia ni makosa.

and on top of that hawakubeba jukumu baada ya kumuona anavua nguo na kugundua kuwa amelewa.
 
Kha! Jamani, yaani huyu binti mkubwa namna hii, aliejengwa akajengeka, mnasema kuwa ni mtoto! Acheni masikhara nyie
 
Kwa umri huo wa miaka 17.Ni mdogo mno,na kutakuwa kuna tatizo kubwa katika jamii nzima si suala la Lulu tu,hata wanaomiliki hiyo Club wanapaswa wawe waangalifu na kutowaruhusu watoto wadogo kama Lulu kuingia katika nyumba za starehe.Tunajenga Jamii mbovu mno kimaadili kwa kufumbia macho mambo haya!

Ana bahati huyo watu tumekuwa watu wazima enzi zetu tuko na kina Kimburu na Mjomba Kasheshe lingeandaliwa tungo la watu 20 sijui kama angetuweza na tukishammaliza wote lazima ahame mji na kwenda kwao kujificha huku akiuguza hizo pembejeo zake za kwendea haja ndogo na tulikuwa hatumkosi yeyote aliyejifanya kuvamia jiji
 
sawa maadili yameporomoka si kuanzia kwa viongozi wa dini, wataalmu, na mpaka wanasiasa..........lakini tungetegemea wanasiasa wetu waweze kusimamia sheria.

kumruhusu mtoto kuingia club ni uvunjaji wa sheria, kumruhusu kununua pombe pia ni ukiukaji wa sheria.

kweli labda hakuwa akiinunua yeye hiyo pombe alikuwa akinunuliwa na huyo mhindi, lakini kumruhusu mtu kuvunja sheria ndani ya himaya au mamlaka yako huku unamuona pia ni makosa.

and on top of that hawakubeba jukumu baada ya kumuona anavua nguo na kugundua kuwa amelewa.

Dada huyo Lulu mbona mkubwa kuna wengine siku hiyo hata kaunta walikuwa hawafikii wanakuomba uwanunulie soda sasa akipata wakumnunulia bia si ndio basi tena.
 
Ana bahati huyo watu tumekuwa watu wazima enzi zetu tuko na kina Kimburu na Mjomba Kasheshe lingeandaliwa tungo la watu 20 sijui kama angetuweza na tukishammaliza wote lazima ahame mji na kwenda kwao kujificha huku akiuguza hizo pembejeo zake za kwendea haja ndogo na tulikuwa hatumkosi yeyote aliyejifanya kuvamia jiji

We kweli paka mweusi na haufai katika jamii na ni wakupigwa mawe kama paka weusi wenzako tulivokuwa watoto.
 
aiseee!!! yaani haka katoto wameshakakoboa namna hii!!!?

Anasoma sokondari kama wazazi wake wakitumia busara ni muda muafaka wakumpeleka boarding na kumuweka mbali na uigizaji wa luningani/filamu unaompa fikra potofu eti naye ni movie star.
 
We kweli paka mweusi na haufai katika jamii na ni wakupigwa mawe kama paka weusi wenzako tulivokuwa watoto.

:becky::becky::becky: tunafaa sana katika jamii miaka yetu walikuwa na heshima tizama sasa tumekuwa ndo wanafanya ujinga wao,weee ingekuwa ndo kuna walioturithi yasingekuwepo haya na washukuru hii sheria ya ubakaji inawalinda lakini naomba watokee kina Paka Mweusi Jr,Kimburu Jr na Mjomba Kasheshe Jr tuone kama wataendelea na ujinga wao wa kujianika ovyo ovyo
 
DDD, nimekugongea Senki yuu kwa ulilolifanya kutaka kumuokoa binti wa watu.

Wanasema asiyefunzwa na Wazazi basi Wadaku watamfunza.

Nina imani aibu atakayoipata itampa fundisho milele....

Ila acheni utani nyie, hata Ulaya mtoto wa Miaka kuanzania 16 watu wanakula taratiiibu......

Kama kina miaka 17, hakiruhusiwi tu kuingia club na kucheza film za ngono, ila kumegwa, aka!!!!!

Labda kama watakuwa wamebadili siku hizi maana wengine tulikuwa huko wakati anatawala John Major.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom