Msajili wa vyama vya siasa Tanzania, avifutia usajili wa kudumu vyama vifuatavyo

Msajili wa vyama vya siasa Tanzania amevifutia Usajili wa kudumu vyama vifuatavyo baada ya zoezi la uhakiki kufanyika na kuona havikidhi CHAUSTA, APPT MAENDELEO NA JAHAZI ASILIA.

Jaji Mutungi amefikia uamuzi huo kutokana kuwa vyama hivyo vimekuwa na ofisi upande mmoja jambo ambalo ni kinyume na kifungu 10d ambacho kinakitaka chama cha siasa kuwa na ofisi pande mbili kwa maana ya Tanzania Bara na Zanzibar.

Lakini sasabu ya pili ni kutokuwa na wanachama Zanzibar kwa mujibu wa kifungu 10b pia kushindwa kuweka wazi mapato na matumzi ya fedha za chama kama kifungu cha 14 (1) (a) kinavyoelekeza.
Habari bila references huwa naona kama ni propaganda tu.

Toa references kuhusu hiyo habari.
 
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania amevifutia Usajili wa kudumu vyama vifuatavyo baada ya zoezi la uhakiki kufanyika na kuona havikidhi CHAUSTA, APPT MAENDELEO NA JAHAZI ASILIA.

Jaji Mutungi amefikia uamuzi huo kutokana kuwa vyama hivyo vimekuwa na ofisi upande mmoja jambo ambalo ni kinyume na kifungu 10d ambacho kinakitaka chama cha siasa kuwa na ofisi pande mbili kwa maana ya Tanzania Bara na Zanzibar.

Lakini sasabu ya pili ni kutokuwa na wanachama Zanzibar kwa mujibu wa kifungu 10b pia kushindwa kuweka wazi mapato na matumzi ya fedha za chama kama kifungu cha 14 (1) (a) kinavyoelekeza.
Mbona sababu ni za kipuuzi namna hiyo?!!
 
84952372d6ec24e6e834d3ba7c1999d4.jpg

Ndugu msajili na watu wako msije kuleta figisu kwa chama letu.
 
Lini atakifuta CHADEMA na CUF?
Siku atakapokifuta chama cha CCM kinachoamini vurugu,fujo, mauaji na Ukandamizaji.

Mwezi June 1961 ASP kilifanya fujo Zanzibar na kuuwa wafuasi wa vyama pinzani wakati wa uchaguzi, January 1964 ASP kiliwauwa kwa maelfu wafuasi wa vyama vya wapinzani waliowashinda kwenye uchaguzi.1977 ASP na TANU waliungana wakaunda CCM, Chama hiki kilirithi mabaya yote ya ASP, mnamo January 2011 waliwaua tena wafuasi wa vyama pinzani baada ya kupora matokeo ya uchaguzi.

Chama hiki kina sifa zote za kufutwa kabisa!
 
Cha ajabubu msajili ajoan huo ufisadi wa ccm kajidai yupo busy lakini akiona cuf na cdm basi ungesikia natishia kuvifutia usajili. Hizi ndio tabia Trump asizozitaka lazima atawanyoosha hawa walaghai wa siasa.
Unamtegemea Trump kuwanyosha wanaokuonea,atakunyosha wewe unayesubiri kufaniwa kila kitu na bahati mbaya zaidi kwako na wenye akili kama ya kwako hatawapokea mkivuruga huku na kuota ndoto ya kukimbilia kwake.
 
Back
Top Bottom