Msajili wa vyama vya siasa Tanzania, avifutia usajili wa kudumu vyama vifuatavyo

Baada ya uchaguzi kuisha matawi ya fisiem yanafutwa ,

Kwa hao jamaa ni tangu lini wapo na wanajulikana, mbona hawakushughulikiwa

wamekosa hela zakuwalipa hela walizokuwa wawalipe hayo matawi yao ndio wamepewa wabunge wa ccm kule Dodoma ili wapitishe sheria kandamizi ya Vyombo vya habari
 
mbona huongelei chama kinachogawa mabulungutu ya pesa kwa wabunge wake ili kipitishe sheria kandamizi za vyombo vya habari?
hakuna kitu ambacho hakina mipaka hapa duniani, lazima tukupangia, hatuwez kukupa uhuru usio na mpaka alafu uje kutumika kwa maslahi ya watu wengine
 
Lini atakifuta CHADEMA na CUF?
Ili mle milion 10 zingine? Nyie ni wapiga dili, mafisadi, wararushwa na mlizoea mteremko.
Na nyiny mnajipeleka kweny mahakama ya mafisadi?

FISADI NI FISADI TU yaan kipind hiki kigumu cha tumbua tumbua lkn bado mnakula rushwa tu.
CCM ni noma. Nimewanyooshea mikono.
Kwa ufisadi mpo juu
 
Back
Top Bottom