Mmeku, Njoo nkupe Bia hapa ABC bar nyuma ya saloon ya Mtenga hapa stand; achana na Mbege, leo usiende Mamsera bana mbali kule, Waishwaa?????
Kwenye helikopta atacheka na nani?IT IS HAPPENING NOW;Msafara wa Rais JK amesababisha ajali mbaya sana mitaa ya Visiga - Pwani wakati Bus la Aboud likijitahidi kuupisha na kutumbukia mtaroni. Mh Rais alikuwa anakwenda Msoga (home) kwake ! Majeruhi wapo na wanaendelea kutolewa kwenye Bus na Escort moja ya FFU imebaki kusaidia zoezi la uokozi.My Take;Kwanini asiwe anatumia Helkopta ya Polisi ili kuzuia ajali hizi ambazo zinazuilika na kuondoa foleni mjini hasa Dar es Salaam muda anaojiandaa kuondoka ?Source; Radio Imaan=====================================UPDATE==============================================
Hivi Mtenga hadi leo bado ananyoa hapo stendi? Si mchezo