Msafara wa Rais wasababisha ajali - Visiga.

The Fixer

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
1,365
583
IT IS HAPPENING NOW;
Msafara wa Rais JK amesababisha ajali mbaya sana mitaa ya Visiga - Pwani wakati Bus la Aboud likijitahidi kuupisha na kutumbukia mtaroni. Mh Rais alikuwa anakwenda Msoga (home) kwake ! Majeruhi wapo na wanaendelea kutolewa kwenye Bus na Escort moja ya FFU imebaki kusaidia zoezi la uokozi.

My Take;
Kwanini asiwe anatumia Helkopta ya Polisi ili kuzuia ajali hizi ambazo zinazuilika na kuondoa foleni mjini hasa Dar es Salaam muda anaojiandaa kuondoka ?

Source; Radio Imaan

=====================================UPDATE==============================================
haikufichwa hii habari blog ya godwin francis aliweka picha

IMG_2244.JPG

IMG_2242.JPG
 
Watu 32 wamejeruhiwa kufuatia ajali ya basi la Abood iliyotokea eneo la Visiga mkoani Pwani. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi.
Source;RADIO1 STEREO.
 
Mbona hapa jukwaani kuna mdau kadai msafara wa JK ndio chanzo, maana dereva wa Abood alikua anajaribu kupunguza mwendo na kuukwepa ndio basi likamshinda
 
Vyote viwili. Mwendo kasi na msafara wa rais vimesababisha. Lori lililokuwa mbele ya Abood lilipiga breki ya ghafla kwa hofu ya ving'ora vya msafara. Abood likiwa kwenye mwendo kasi ili kukwepa kuuvaa msafara au kuligonga lori kwa nyuma likaona isiwe tabu, likaingia mtaroni. I thank thee O Lord, my darling wife is safe. Haya mambo yasikie kwa wengine. Dah!
 
dah pole mkuu Asprin...Mungu kweli ni mwema kwa hilo
 
Last edited by a moderator:
Naona weekend ya mheshimiwa imeanza mapema...ila simlaumu maana hamna kazi ya kufanya ikulu bora akajipumzikie
 
harafu huwa wanajifanya kuweka namba za simu kwenye mabasi yao zile simu huwa hazipokelewi hata siku moja, na ukituma message huwa hazijibiwi. Ukimwambia dereva abiria wengine wanasema huyu ndo mara ya kwanza kusafiri dereva tuwahishe.
 
Vyote viwili. Mwendo kasi na msafara wa rais vimesababisha. Lori lililokuwa mbele ya Abood lilipiga breki ya ghafla kwa hofu ya ving'ora vya msafara. Abood likiwa kwenye mwendo kasi ili kukwepa kuuvaa msafara au kuligonga lori kwa nyuma likaona isiwe tabu, likaingia mtaroni. I thank thee O Lord, my darling wife is safe. Haya mambo yasikie kwa wengine. Dah!
Pole sana Babu Asprin! Mpe pole na Shosti!
 
Last edited by a moderator:
Vyote viwili. Mwendo kasi na msafara wa rais vimesababisha. Lori lililokuwa mbele ya Abood lilipiga breki ya ghafla kwa hofu ya ving'ora vya msafara. Abood likiwa kwenye mwendo kasi ili kukwepa kuuvaa msafara au kuligonga lori kwa nyuma likaona isiwe tabu, likaingia mtaroni. I thank thee O Lord, my darling wife is safe. Haya mambo yasikie kwa wengine. Dah!

Poleni kwa mshitko mkuu !
 
Back
Top Bottom