The Fixer
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 1,365
- 583
IT IS HAPPENING NOW;
Msafara wa Rais JK amesababisha ajali mbaya sana mitaa ya Visiga - Pwani wakati Bus la Aboud likijitahidi kuupisha na kutumbukia mtaroni. Mh Rais alikuwa anakwenda Msoga (home) kwake ! Majeruhi wapo na wanaendelea kutolewa kwenye Bus na Escort moja ya FFU imebaki kusaidia zoezi la uokozi.
My Take;
Kwanini asiwe anatumia Helkopta ya Polisi ili kuzuia ajali hizi ambazo zinazuilika na kuondoa foleni mjini hasa Dar es Salaam muda anaojiandaa kuondoka ?
Source; Radio Imaan
=====================================UPDATE==============================================

haikufichwa hii habari blog ya godwin francis aliweka picha