Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 758
Kafara hiyo. Majini yaliyo waweka madarakani lazima yalishwe damu mara kwa mara.
Kwanini wasile damu zao wahusika na familia zao inakula damu za watu wengine??, na Je yahya hakuweka ulinzi hapo!!
Kafara hiyo. Majini yaliyo waweka madarakani lazima yalishwe damu mara kwa mara.
Radhid Othman [DG],President Kikwete ,and VP Bilal mourning TISS agent/driver Al-marhum Said Mkoma.[RIP]