Msafara wa First Lady waua mmoja Ruvu

Mtu yeyote ambaye ana jukumu la kulinda kiongozi anaapa kutoa uhai wake
Huyo kiongozi Salma Kikwete wewe ndio umemchagua? Vinginevyo kanywe nae chai.

Msafara wa magari kumi ni ufujaji, period. Kila kona serikalini bajeti zimekatwa hata kazi hazifanyiki, lakini hela ya kumsafirisha demu wa Rais na magari kumi ipo, bunch of b.s.

Jamani hii ni ajali tumpe pole hata kidogo!
Tumpe pole nani, marehemu?
 
Rip dereva.......hili suala la misafara ya viongozi na wake zao linatakiwa litazamwe upya maana mwendo wanaotembea nao si wa kawaida.
 
Wakuu, ajali imetokea ruvu, salma alikuwa anatokea msoga nyumbani kwake, kama kawaida ya huyu dada,alikuwa na state house vehicles kama matatu na cruiser 2 za police, walisimamisha gari kwa ghafla,basi, driver wa basi akagonga hiace kwa nyuma,then akahamia upande wa pili wa barabara,akaivaa cruiser iliyokuwa inajaribu kupaki pembeni. Driver wa cruiser kafa hapo hapo. Mi nimeikuta imetokea kama ndani ya kama dakika 4 hivi
 
RIP ramadhani... la duh, yaaani waliona wauwe abiria zidi ya ishirini kumuokoa mtu mmoja???!!! Kaaazi kwelikweli!
 
....huyu mama naye ni kero hii sijui ni mara ya ngapi anasababisha ajali.....mbona ma first lady waliopita hawakulindwa na hawakupata ajali....mama salma hii ajali itakuwa ni ya tatu ..nadhani zilizopita pia ziliuwa...ikiwemo wakati wa kampeni....nadhani sasa wameamua kuwatumia maafisa wa usalama wa Taifa kama sadaka za makafara yao.....haya bwana ....paka kula mwanaye!!...
 
Wakuu, ajali imetokea ruvu, salma alikuwa anatokea msoga nyumbani kwake, kama kawaida ya huyu dada,alikuwa na state house vehicles kama matatu na cruiser 2 za police, walisimamisha gari kwa ghafla,basi, driver wa basi akagonga hiace kwa nyuma,then akahamia upande wa pili wa barabara,akaivaa cruiser iliyokuwa inajaribu kupaki pembeni. Driver wa cruiser kafa hapo hapo. Mi nimeikuta imetokea kama ndani ya kama dakika 4 hivi

Duh! Kwa nini msafara ulisimama ghafla?
 
Na ule mwendo wa magari ya misafara ni ajali mbaya. Pole mama yetu, tunamshukuru Mungu kwamba umenusulika.

Wewe umelogwa nini .....? sema mama yako wewe usitumie neno "yetu"...hatuna mama chinja chinja...mtoa makafara ya damu........badala ya kuwapa pole waliopotelewa na ndugu yao.....wewe unampa pole Salma...na msafara wake ulio kinyume cha stahili zake..watanzania wengine wajinga kabisa....

Salamu za rambi rambi kwa wote waliopotelewa na mpendwa wao...na tuwatakie wale majeruhi wapate kupona haraka.....
 
Tuwe na huruma zaidi kuliko ushabiki, vp kama ajali hiyo ingemuhusu ndugu yako wa damu (mama, dada, shangazi, mpwa, baba au kaka) ungetoa comments gani?

du pole mkuu kwani arusha walikufa wa ngapi na misafara yote ya nini pesa ya umma na maombi ya umma
 
....laaana za watanzania ....watu serikali haina fedha ....kweli mwanamke mmoja anatumia gari 10 kwa msafara....na kulazimisha magari yasimame pembeni ili yeye apite......mbona UK tunapishana na Queen ..,na Prime minister....ukija home kila mtu hata ambaye hayupo kikatiba anataka msafara...watu wana nungunika mioyoni ndio maana mabaalaa hayaishi!
 
UK prime minister David Cameron strolls down Whitehall to take his seat in Parliament as Prime Minister. Hapo huwezi kupata ajali.
 
Rip dereva.......hili suala la misafara ya viongozi na wake zao linatakiwa litazamwe upya maana mwendo wanaotembea nao si wa kawaida.

Lakini kwa nini msafara wa hawa viongozi uwe wa magari mengi?...Nci yenyewe ni Tanzania na tunaambiwa ni tulivu sasa hawa viongozi sisi ndo tumewachagua halafu wanlindwa ati kama vile sisi ndio adui wao..sielewi

Mwendo ni kwa nini wae wansimamisha magari yote ya wananchi wa kawaida ili wao wapite je wao ni bora kuliko sisi....Nchi zilizoendelea huoni masumbuko kama haya hawa viongoizi ni kipi wanacho ogopa?
 
Pole wafiwa jaman! mimi nilishapata adha ya msafara kama huu du nilikuwa nafatana nao nilikuwa natanua nao toka ile kona ya tanga sitasahau nilipofika kona ya chalinze nilikuta maaskari wa ffu kama hamsini hivi nilikamatwa kama mhalifu fulani hivi duh. wapunguze magari kwa safari za mkoani kwani inakuwa adha kwa wasafiri

Nategemea bunge letu wataliongelea hili swala la adha inayoletwa na hii misafra na mbio...hivi wankimbia nini?
 
Na ule mwendo wa magari ya misafara ni ajali mbaya. Pole mama yetu, tunamshukuru Mungu kwamba umenusulika.
Mijitu mingine iko obsessed kweli badala ya kuwapa pole wafiwa unampa mwingine halafu next time usiandike mama yetu andika mama yako usijekutusababishia bundi la bure nyumbani kwetu.

Poleni wafiwa!!.... mimi simpi pole mama yenu.
 
Acha unafiki na kujidai mwenye hasiiiira na mwenendo wa nchi.hii ni ajali na responce yetu lazima iwe katika mazingira ya kufarijiana na sio kejeli na matusi.kisiasa sipendi kusikia uwepo wa kikwete na familia yake but kwa hili ntafunga beji nyeusi.
Naamini bado tuko kwenye mapambano ya hoja/fikra na sio physical fighting ambayo wanafiki kama nyinyi mtakaa pembeni.
Msafara wa magari kumi ni ufujaji, period. Kila kona serikalini bajeti zimekatwa hata kazi hazifanyiki, lakini hela ya kumsafirisha demu wa Rais na magari kumi ipo, bunch of b.s.

Tumpe pole nani, marehemu?
wote waliohusika wanastahili pole!
 
Tuwe na huruma zaidi kuliko ushabiki, vp kama ajali hiyo ingemuhusu ndugu yako wa damu (mama, dada, shangazi, mpwa, baba au kaka) ungetoa comments gani?

Huruma kama unashiba. Njaa mbaya sana haileti huruma, halafu Salma anaamua tu kutumia msafara wa magari mengi ili kuunguza mapesa yetu bila huruma wakati anajua tuna njaa.
 
angekufa tu...dereva kujifanya shujaa kiko wapi kafa huyo festi ledi kapeta....watu wengine bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom