Hahaha! miadah! kamanda naona umeamua kuja na gia mpya! greti thinka nimekuelewa bana! acha niachie accelarator.
Hahaha! miadah! kamanda naona umeamua kuja na gia mpya! greti thinka nimekuelewa bana! acha niachie accelarator.
...connecting the d.o.t.s...!
Sawa 'dada'ke!' :A S 41:
mtu mzima mwenzangu pokea huu msamiati "pilau kamwe haitoi harufu ya ugali" , nina hakika umenielewa ila weka kwenye bracket lizzy asifaham. this is great thinking talk now.
mtu mzima mwenzangu pokea huu msamiati "pilau kamwe haitoi harufu ya ugali" , nina hakika umenielewa ila weka kwenye bracket lizzy asifaham. this is great thinking talk now.
inaweza kutokea ila it doesn't sound good, hao ndugu watakuwa wakitiliana sana mashaka, pia mume mtu anaweza kuwa 1 haikai,mbili inaruka,3 haisomi sijuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiEti jamani kama msichana amewahi kuwa na mtu alafu wakaachana...huyo kaka akija kumuoa dada wa msichana ni sawa?Hapo wote wanajua na wameridhia sio kinyemela!
Si sawa kwa mujibu wa maadili ya nani? Na utamaduni wa "tz" ndo upi huo? Manake sijawahi sikia kuwa kuna uniformity katika huo so called utamaduni wa tz!!!
Hivi hakuna makabila ambapo wanaume wanarithi wadogo za wake zao endapo wake zao wakifa?
Kama wote wahusika wameridhia, tena kwa dhati kabisa sioni kwa nini isiwe sawa! Natumaini ya kabla ya kufikia maridhio walijadili kila kitu kwa uwazi na ukweli na hatimaye kufikia hilo hitimisho la kuridhia.
So why would anyone have beef?
Ni kweli inaruhusu binamu kwa binamu kuoana but si kuoleana.....yaani bwana aje aoe nyumba moja au huyo binamu atembee na binti mmoja kisha aje amwoe mwingine!!MJ1 baadhi ya mila zetu si zinaruhusu mabinamu kuoana?Hiyo extended family inakua na matatizo ama?
Hehehe nani atamwonea mwenzake wivu BW?