Msaada!

mi naona si sawa hata kidogo, hapo kuna maridhiano ya mdomoni tu lakin moyoni mwao mmojawapo kati yao hana maridhiano ya kweli.....
 
Yani mshkaji kamwambia mdogo mi nampenda dada yako na akikubali ntamuoa.Mdogo mtu hana tatizo ila anashangaa kama hawataonekana wa ajabu!

Alishaonja tunda la mdogo mtu tayari ama? Kama keshaonja halafu wanakaa wanajadiliana mi nampenda sister wako halafu naye wanado haitoshangaza akimwambia unajua tunda la mti ule wa shambani kwa mdogo wako lilikuwa tamu hebu nikalile tena subiri hapahapa nakuja. Naye atabaki akishangaa kama watu hawatawaona wa ajabu halafu atarudi kwa mdogo mtu tena! Loh naona hapa hapana haifai hata kidogo!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom