Msaada!

jamani si sawa kabsaa...ina maana huyo mkaka alikuwa anamtamani/kumpenda dada b4 hawajabreak?yeye dada pia anaona ni sawa kweli?kwanza ni swala la aibu na si utamaduni mzuri
WL kulikua hamna kutamaniana kabla!Ila kwa vyovyote vile naona kwenye kitabu chako itakua hairuhusiwi!
 
Loh!Haya ngoja nijitoe mhanga!Kloro nakuzimia..nisipoona post zako sichangamki..usipoquote zangu silali..usiponigongea senksi nanuna na ukiwagongea wengine nalia!

lizzy hueleweki bana,,,vile cipiyu hayupo unamzimia kloro dah!kuna haka kawifi kangu micheli akicheza tutamchukua dadake:coffee:
 
jamani si sawa kabsaa...ina maana huyo mkaka alikuwa anamtamani/kumpenda dada b4 hawajabreak?yeye dada pia anaona ni sawa kweli?kwanza ni swala la aibu na si utamaduni mzuri
haya masuala ya utamaduni ndio yalotufanya mpaka leo tunaota ma mvi tuna miaka 30. wewe kama dadaake lizzy na lizzy mwenyewe washaridhia nibalance equation. sasa mila ya nini tena?. wiselady unanilet down bana
 
lizzy hueleweki bana,,,vile cipiyu hayupo unamzimia kloro dah!kuna haka kawifi kangu micheli akicheza tutamchukua dadake:coffee:
kuna jamaa leo kwenye matangazo ya vifo alikuwa na jina kama hilo red. msiniquote vibaya wajameni!
 
kloro nimeongea kumridhisha lizzy maana naona bado anampenda jamaa though anasema kamwachia sisy,,c unamjua lizzy kwa bifu asije mgeuka dadake baadae
 
uuuuwi!umeshtua mbavu zangu usiku huu!!kweli ww ni klorokwin,,,loz!uliskia saa ngapi maana alikuwepo mpaka saa 12 ??
 
lizzy hueleweki bana,,,vile cipiyu hayupo unamzimia kloro dah!kuna haka kawifi kangu micheli akicheza tutamchukua dadake:coffee:

WL tulia bwana..Kloro ntampeleka wapi sharobaro huyu?Hata mia ya kumhong sina!
 
kloro nimeongea kumridhisha lizzy maana naona bado anampenda jamaa though anasema kamwachia sisy,,c unamjua lizzy kwa bifu asije mgeuka dadake baadae
halaf huyu lizzy inaonekana wazee wake wanajiproud kweli kwamba mtoto wao kajiunga JF na anapost sred jukwaa la MMU. sifafanui zaidi ya hapa
 
Kumbe WL unanipenda ehh?Ntaongeza sadaka jumapili!
 
halaf huyu lizzy inaonekana wazee wake wanajiproud kweli kwamba mtoto wao kajiunga JF na anapost sred jukwaa la MMU. sifafanui zaidi ya hapa

Ushaanza majungu!Malizia...ila hawajui nafanya madudu?
 
uuuuwi!umeshtua mbavu zangu usiku huu!!kweli ww ni klorokwin,,,loz!uliskia saa ngapi maana alikuwepo mpaka saa 12 ??
au inawezekana kafeki kifo baaada ya kudaiwa hela ya saloon na lizzy. mafukara wakipendana bana! dah!
 
Saluni nikafanye nini na huu upara??Hua ananinyoa mwenyewe kwa mkasi maana nikifuga kipilipili kinamaliza sabuni!
 
au inawezekana kafeki kifo baaada ya kudaiwa hela ya saloon na lizzy. mafukara wakipendana bana! dah!

hahaha,,inawezekana kabisa maana hata hiyo mida lizzy alishaanza kugongea!fukara + fukara=chawa tumsaidieje lizzy sasa?
 
kwa hiyo unaniruhusu nimchukue maana naona tunamatch sisi hatuwi avoided

a.Kama uko tayari kubeba mzigo hua changamka mama...ila tahadhari..Kloro anafit kwenye vifungu vyote vya wanaume wa kukwepwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom