Wazazi mmezidi kuwaadhibu watoto wenu wa kike

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,891
Usimuadhibu msichana unamuadhibu kama mvulana mpaka 16 na anapata hedhi hii ni aibu.

Tayari ni msichana mtu mzima zamani amekwisha olewa. Ndio maana wengi wanatoroka majumbani kisa wazazi akili zenu mnazijua wenyewe, mtu akianza kuvunja ungo ni wa kumkanya tu hata mvulana haya mna kitu mnakitafuta akija kufa mtu kisa ujinga wa mafimbo mtajijua wenyewe.
 
Mtoto ni msichana unamuadhibu kama mvulana mpaka 16 na anapata hedhi hii ni aibu.

Tayari ni msichana mtu mzima zamani amekwisha olewa. Ndio maana wengi wanatoroka majumbani kisa wazazi akili zenu mnazijua wenyewe, mtu akianza kuvunja ungo ni wa kumkanya tu hata mvulana haya mna kitu mnakutafuta akija kufa mtu kisa ujinga wa mafimbo mtajijua wenyewe.
Wewe ni mzazi tuanzie hapo? Hakuna mzazi anayependa mtoto wake asisogee! Better die trying than regret for doing nothing! Simaanishi kuua! Namaanisha kujitahidi kadri unavyoweza kumsaidia mwanao afanikiwe! Naomba tumtangulize Mungu kwa kila jambo kwanza!
 
Huwa naamini katika kumuelekeza na kumfundisha mtu kuliko kutumia nguvu. Sisi wazazi wa kiafrika mara nyingi hatujui kuwa marafiki na watoto wetu. Mzazi ukitengeneza urafiki na mwanao ni rahisi mtoto kukuelewa maana anakuwa mzalendo kwako kihisia na hata inapelekea yeye mwenyewe kujiendesha inavyotakiwa. Kuwa mkali mara chache pale anapozidisha na umfundishe sio ajifundishe.
 
Kama akili haijakaa sawa lazima aonywe ikibidi kwa kupigwa.

Umekimbilia kusema wa zamani 16 yrz old walikuwa wameshaolewa umejiuliza kama wao walikuwa wanaleta mimba zisizoeleweka nyumbani?kizazi leo kimeharibika mtoto wa kike anazaa hadi watoto watatu yupo kwa Baba yake uliza zamani kama hata walithubutu kuzaa huyo mmoja.
 
Mtoto ni msichana unamuadhibu kama mvulana mpaka 16 na anapata hedhi hii ni aibu.

Tayari ni msichana mtu mzima zamani amekwisha olewa. Ndio maana wengi wanatoroka majumbani kisa wazazi akili zenu mnazijua wenyewe, mtu akianza kuvunja ungo ni wa kumkanya tu hata mvulana haya mna kitu mnakutafuta akija kufa mtu kisa ujinga wa mafimbo mtajijua wenyewe.
kulea mtoto wa kike, hasa akivunja ungo/pale awali anapobalehe, ni kazi ngumu sana. na ni hatari, ukizembea utavuna mabua, aidha ataambukizwa ngoma umpoteze kabisa au atapata mimba, au mabonjwa mengine ya zinaa au atashindikana hata shule hata soma. binafsi niliamua, na niliwaeleza mabinti zangu kwamba, kuchapwa mtachapwa tena sana na sihitaji mnipende kama mna tabia mbaya, mtakuja kunishukuru mkiwa watu wazima baada ya kugundua nilichokuwa nakifanya kwenu. sio kwamba siwapendi, ninakaa nao, ninacheza nao, na ninawaeleza ukweli madhara ya ngono za utotoni, umuhimu wa shule kwao na wakikosea nahakikisha wamejua kuwa wamekosea na wamejutia. imefika wakati wanalindana wao kwa wao, mmoja akifanya ujinga mwezake anakuja kumsemelea kwangu. Mungu anatakiwa kuhusika.
 
Psychology and canceling ni Kwa ajili ya wazungu tu
Hawa wenye nywele za kipili pili ni kuwatembezea kichapo tu

Mtot anakuwa under control ya mzazi mpaka atakpo amua kwenda kujitegemea hapo ndio atakuwa free

Yaan unanirudia saa7 ucku nkufungulie mlango kizembe tu bila kukuzabua makofi

Labda sio baba mm nilie kukojoa
 
Waambie watayarishane kwa muda kabla ya kipachikana ayo mavitu, ikiwezekana watumie trick ya kufanyiana massage, wagusane kila idara, mafuta ya massage mbona sio bei, alafu atakuja kukwambia. Apo Mwanaume inabid amfanyie zaid mwanamke ad afike hata kabla. Kama awezi njo inbox nikupe video za massage, kwamba anashindwa kutafuta ata porn video za massage na zimezagaa kila mahali.
 
Meseji imekosewa/imejituma kusiko
 
Are you okey ?
 
Malezi ya watoto wakizazi hiki tatizo sana wanalelewa kama keki ukimgusa kidogo serikali hiyo ukimfokea mara katoroka ndo maana haya sikii vitoto vya sasa hata uwafanyie nin havina heshima malezi ya kizungu sana
 
Mtoto ni msichana unamuadhibu kama mvulana mpaka 16 na anapata hedhi hii ni aibu.

Tayari ni msichana mtu mzima zamani amekwisha olewa. Ndio maana wengi wanatoroka majumbani kisa wazazi akili zenu mnazijua wenyewe, mtu akianza kuvunja ungo ni wa kumkanya tu hata mvulana haya mna kitu mnakutafuta akija kufa mtu kisa ujinga wa mafimbo mtajijua wenyewe.
Pole sana.
 
Inategemea na tabia zake,
Sasa tabia zake alianza akiwa wapi si kwa wazazi sasa kwanini wao hawakumkanya walipoona hana tabia nzuri kua njia za kuishi na watoto bila kumpiga kila wakati mwanadada wa 16 years old unamtandika kama ana miwili jamani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom