Hongera kwa kumaliza mfungo na kupata uni..mi nimepangiwa udsm-bcom in accounting mkuu.Kama alivosema ndugu yetu hapo,mfungo papaa!...me mepangwa sua BSc wildlife...weye?
Hongera kwa kumaliza mfungo na kupata uni..mi nimepangiwa udsm-bcom in accounting mkuu.Kama alivosema ndugu yetu hapo,mfungo papaa!...me mepangwa sua BSc wildlife...weye?
pole sana..mwenyewe ndo napga hyo..ka huna msing wa accounts huko utokako utataman kuhama chuo.Hongera kwa kumaliza mfungo na kupata uni..mi nimepangiwa udsm-bcom in accounting mkuu.
Hongera kwa kumaliza mfungo na kupata uni..mi nimepangiwa udsm-bcom in accounting mkuu.
Asante mkuu ila O-level tulifutiwa commerce na bookkeeping,na A-level nlisoma EGM...ila nitakomaa hadi kieleweke,kwani ni ngumu sana mkuu?pole sana..mwenyewe ndo napga hyo..ka huna msing wa accounts huko utokako utataman kuhama chuo.
ndo mana nimekupa pole,EGM c k2 mbele accounts mkuu!Asante mkuu ila O-level tulifutiwa commerce na bookkeeping,na A-level nlisoma EGM...ila nitakomaa hadi kieleweke,kwani ni ngumu sana mkuu?
Amna shida mkuu,nikipata tatizo wewe siutansaidia,eti vipi kuhusu ajira ni ngumu kupata au niendelee na mawazo yangu ya kujiajiri?ndo mana nimekupa pole,EGM c k2 mbele accounts mkuu!
hv we dogo,hujaanza hata chuo tayar unawaza mambo ya ajira?kasome kwanza bana...othrwise inabid uniPm mawasiliano yako ili uje kunibeba.Amna shida mkuu,nikipata tatizo wewe siutansaidia,eti vipi kuhusu ajira ni ngumu kupata au niendelee na mawazo yangu ya kujiajiri?
Too late mkuu,kuna mchizi nimeshakubali kumbeba...ila nilikuwa nafikiri ni vyema kujua kabla ya kumaliza chuo nijue ntajipangaje ili nikimalize nijue ntafanya nini.hv we dogo,hujaanza hata chuo tayar unawaza mambo ya ajira?kasome kwanza bana...othrwise inabid uniPm mawasiliano yako ili uje kunibeba.
we elewa 2 kwamba,soko la accountng lina wa2 weng so ni wewe 2 utakavyokuwa competence.Too late mkuu,kuna mchizi nimeshakubali kumbeba...ila nilikuwa nafikiri ni vyema kujua kabla ya kumaliza chuo nijue ntajipangaje ili nikimalize nijue ntafanya nini.
Nashukuru kwa hilo mkuu,ntajitahidi niwe competent.we elewa 2 kwamba,soko la accountng lina wa2 weng so ni wewe 2 utakavyokuwa competence.
Unawaza kwa kutumia nini,yaani umepangwa fest degree(hata hujaanza kusoma) an then unataka uunge second degree! Embu nyoosha kiswahili..by the way uliomba hiyo program ya nini?Nimepangwa bachelor of science with eduction n sitaki kuja kufundisha nipeni maujanja hapo....mi naona niunge masters
Teh teh teh.......wajamen sasa ntakuwepo humu daily!!mamboz lakn?UDSM waenda lini?
Unawaza kwa kutumia nini,yaani umepangwa fest degree(hata hujaanza kusoma) an then unataka uunge second degree! Embu nyoosha kiswahili..by the way uliomba hiyo program ya nini?
niliweka ya mwisho wakanipa huko hukoGood question People.
unaweza. Kuna mtu namjua alipiga ed. UDSM akapiga tokeo la ukweli now yupo UDSM anakula ela.niliiweka ya mwisho kwa hapo UDSM wakanitupa huko huko....ila mimi ninamalengo ya kuja kuwa lectara inawezekana?
so hapo nikutengeneza GPA za ukweli...plz naomba unisaidie kuniconnect na huyo jamaaunaweza. Kuna mtu namjua alipiga ed. UDSM akapiga tokeo la ukweli now yupo UDSM anakula ela.
lectara ni mtu gani tena wajameni?niliiweka ya mwisho kwa hapo UDSM wakanitupa huko huko....ila mimi ninamalengo ya kuja kuwa lectara inawezekana?
kwa bahati mbaya nilimwona mara ya mwisho mwaka jana. Mpaka leo cjamwona na namba yake cna. Nikiingia chuo nitamtafuta.so hapo nikutengeneza GPA za ukweli...plz naomba unisaidie kuniconnect na huyo jamaa
nitaku PM namba yangukwa bahati mbaya nilimwona mara ya mwisho mwaka jana. Mpaka leo cjamwona na namba yake cna. Nikiingia chuo nitamtafuta.