Msaada TCU, HESLB: Naweza kubadilisha course?

Hongera kwa kumaliza mfungo na kupata uni..mi nimepangiwa udsm-bcom in accounting mkuu.
pole sana..mwenyewe ndo napga hyo..ka huna msing wa accounts huko utokako utataman kuhama chuo.
 
Asante mkuu ila O-level tulifutiwa commerce na bookkeeping,na A-level nlisoma EGM...ila nitakomaa hadi kieleweke,kwani ni ngumu sana mkuu?
 
ndo mana nimekupa pole,EGM c k2 mbele accounts mkuu!
 
Amna shida mkuu,nikipata tatizo wewe siutansaidia,eti vipi kuhusu ajira ni ngumu kupata au niendelee na mawazo yangu ya kujiajiri?
hv we dogo,hujaanza hata chuo tayar unawaza mambo ya ajira?kasome kwanza bana...othrwise inabid uniPm mawasiliano yako ili uje kunibeba.
 
Too late mkuu,kuna mchizi nimeshakubali kumbeba...ila nilikuwa nafikiri ni vyema kujua kabla ya kumaliza chuo nijue ntajipangaje ili nikimalize nijue ntafanya nini.
 
we elewa 2 kwamba,soko la accountng lina wa2 weng so ni wewe 2 utakavyokuwa competence.
 
Nimepangwa bachelor of science with eduction n sitaki kuja kufundisha nipeni maujanja hapo....mi naona niunge masters
Unawaza kwa kutumia nini,yaani umepangwa fest degree(hata hujaanza kusoma) an then unataka uunge second degree! Embu nyoosha kiswahili..by the way uliomba hiyo program ya nini?
 
Jumatatu nitaanza kufuatilia kaka. Vp weye? Good..tukimaliza tunaweza kufanya kazi pamoja ktk utalii. Heheheeee. Watatukoma. :)
Teh teh teh..
smile.png
..;)...wajamen sasa ntakuwepo humu daily!!mamboz lakn?UDSM waenda lini?
 
Good question People. :)
Unawaza kwa kutumia nini,yaani umepangwa fest degree(hata hujaanza kusoma) an then unataka uunge second degree! Embu nyoosha kiswahili..by the way uliomba hiyo program ya nini?
 
niliiweka ya mwisho kwa hapo UDSM wakanitupa huko huko....ila mimi ninamalengo ya kuja kuwa lecturer inawezekana?
 
Back
Top Bottom