Tofauti kati ya BA with Education (Bsc with education) na Bachelor of Education

Ahmet

JF-Expert Member
Oct 15, 2019
1,537
3,404
Habari za muda huu wanajamvi, Nianze tu kwa kusema kuwa Kuna upotoshwaji mkubwa juu ya program mbili hizi(BA.Ed/BSc Ed vs B.Ed) ambapo watu wengi wamekuwa wakitoa maelezo ambayo si ya kweli.

Kwanza kabisa nipende kuwafahamisha kuwa Bachelors of education zipo za aina nyingi, wengi wamezoea kuitaja bachelor of education in arts (B.Ed ARTS), lakini ukweli ni kuwa B.Ed programs zipo nyingi Sana Kama vile:
  • Bachelor of Education in psychology (B.Ed PSY)
  • Bachelor of Education in policy planning and management (B.Ed PPM),
  • Bachelor of Education in guidance and counselling (B.Ed GUCO)
  • Bachelor of Education in science (B.Ed Sc),
  • Bachelor of Education in special education (B.Ed SPED)
  • Bachelor of Education in adult education and community development (B.Ed AECD)
  • Bachelor of Education in science with ICT (B.Ed Sc ICT)
  • Bachelor of Education in early childhood education (B.Ed ECE)
  • Bachelor of Education in physical education and sport science (B.Ed PESS)
  • Bachelor of Education in primary
  • Bachelor of Education in commerce (B.Ed COM)
  • N.k.

Tofauti iliyopo Kati ya bachelor of arts/science with education na bachelor of education in (arts/science/psy e.t.c) ni concentration ya masomo yako yaani ni wapi unasoma courses nyingi kushinda kwengine, kwa BA.Ed na BSc.Ed wanasoma courses nyingi za teaching subjects Kama vile history, biology, geography, physics, kiswahili n.k. ila kwa B.Ed programs concentration inakuwa kubwa sana katika teaching methodology (namna ya ufundishaji) kwaiyo muda mwingi na credit nyingi zitakuwa kwa masomo ya ualimu. Pia katika B.ED Programs unakuwa na sehemu nyengine ya specialization Kama vile psychology, educational policy, planning and management, guidance and couselling na nyengine nyingi Kama tulivyoona hapo juu.

Watu wa programs za B.Ed wanaandaliwa kufundisha vyuo vya elimu ya Kati kwa maana ya certificate na diploma ya ualimu lakini watu wa BA.Ed ni walimu wa secondari ingawa mtu wa B.Ed anaweza fundisha sekondari pia.

Lengo la Uzi huu ni kuondoa dhana potofu (misconception) kuhusiana na tofauti iliyopo kati ya BA.Ed/BSC.Ed na B.Ed programs.
Kwanza kabisa, si kweli kwamba ukisoma B.Ed program unakuwa na somo moja la kufundishia. Hili ni suala linalotokana na utaratibu wa chuo husika, vipo vyuo ambavyo kwa Bachelor of Education in arts/science ni lazima ku-opt masomo mawili ya kufundishia, mfano nzuri ni UDOM, Institute of adult education n.k. ni lazima kuchukua masomo mawili ya kufundishia ambapo moja ni major subject na jengine ni minor one. Ingawa kwa UDOM,TUMA n.k. Kuna B.Ed programs ambazo utasomea somo moja la kufundishia Kama vile B.Ed GUCO, ECE na SPED.

Si kweli kuwa ukisoma B.Ed programs basi huwezi kusoma kitu tofauti na elimu, hii si kweli kabisa. Graduates wa B.Ed anaweza akasoma kitu chengine tofauti na ualimu kwa level za masters na PhD. Ikumbukwe tu kuwa masomo ya postgraduate yanategemea ulisoma Nini katika degree yako ya Kwanza. Kama mtu alisoma B.Ed program ndani yake akasoma let's say geography basi anaweza kusoma masters zote zinahusiana na geography Kama vile natural resources manament, project planning, climate change, demography, geography, GIS ambazo kimsingi si ualimu kabisa. In short Kama umesoma masomo ya sanaa katika BEd yako basi unaweza kusoma program nyingi za masters ambazo ni za sanaa Kama socialogy, community development, development studies na nyengine nyingi. Na hata yule wa BA.Ed/BSC.Ed Vilevile atasoma programs za postgraduate kulingana na specialization yake katika degree ya awali.

Mwisho, Kuna baadhi ya vyuo ambavyo hutoa B.Ed programs bila masomo ya kufundishia, yaani utasoma masomo ya ualimu na specialization yako Kama vile psychology bila masomo ya msingi ambayo ni physics, history, math, n.k ambapo itaku-limit kutoajiriwa Kama mwalimu wa masomo ya shule ya msingi au sekondari.

Karibuni
 
Habari za muda huu wanajamvi, Nianze tu kwa kusema kuwa Kuna upotoshwaji mkubwa juu ya program mbili hizi, ambapo watu wengi wamekuwa wakitoa maelezo ambayo si ya kweli.

Lengo langu ni kuwasaidia wale ambao watahitaji kufahamu zaidi kuhusiana na programs za elimu ili waweze kujiunga bila maswali mengi na gagaziko lolote. Hii haimaanishi Mimi ni mjuzi sana lakini kwa kiwango changu naweza kuchangia kitu katika hili na kuwasaidia wanafunzi watarajiwa na ndugu zetu kuwa na machaguo sahihi.

Kwanza kabisa nipende kuwafahamisha kuwa Bachelors of education zipo za aina nyingi, wengi wamezoea kuitaja bachelor of education in arts (BED ARTS), lakini ukweli ni kuwa BED programs zipo nyingi Sana Kama vile:
  • Bachelor of Education in psychology (BED PSY)
  • Bachelor of Education in policy planning and management (BED PPM),
  • Bachelor of Education in guidance and counselling (BED GUCO)
  • Bachelor of Education in science (BED SC),
  • Bachelor of Education in special education (BED SPED)
  • Bachelor of Education in adult education and community development (BED AECD)
  • Bachelor of Education in science with ICT,
  • Bachelor of Education in early childhood education (BED ECE) na nyengine nyingi

Tofauti iliyopo Kati ya bachelor of arts/science with education na bachelor of education in (...................) ni concentration ya masomo yako yaani ni wapi unasoma courses nyingi kushinda kwengine, kwa BAED na BSC ED wanasoma courses nyingi za teaching subjects Kama vile history, biology, geography, physics nk ila kwa BED programs concentration inakuwa kubwa sana katika teaching methodology (namna ya ufundishaji) kwaiyo muda mwingi na credit nyingi zitakuwa kwa masomo ya ualimu. Pia katika B.ED Programs unakuwa na sehemu nyengine ya specialization Kama vile psychology, educational policy, planning and management, guidance and couselling na nyengine nyingi Kama tulivyoona hapo juu.

Watu wa programs za BED wanaandaliwa kufundisha vyuo vya elimu vya Kati kwa maana ya certificate na diploma ya ualimu lakini watu wa BAED ni walimu wa secondari ingawa mtu wa BED anaweza fundisha sekondari pia.

Lengo la Uzi huu ni kuondoa dhana potofu (misconception) kuhusiana na tofauti iliyopo kati ya BAED/BSC ED na BED programs.
Kwanza kabisa, si kweli kwamba ukisoma BED program unakuwa na somo moja la kufundishia. Hili ni suala linalotokana na utaratibu wa chuo husika, vipo vyuo ambavyo kwa Bachelor of Education in arts/science ni lazima ku-opt masomo mawili ya kufundishia, mfano nzuri ni UDOM, Institute of adult education n.k. ni lazima kuchukua masomo mawili ya kufundishia ambapo moja ni major subject na jengine ni minor one. Ingawa kwa UDOM,TUMA n.k. Kuna BED programs ambazo utasomea somo moja la kufundishia Kama vile BED GUCO, ECE na SPED.

Si kweli kuwa ukisoma BED programs basi huwezi kusoma kitu tofauti na elimu, hii si kweli kabisa. Graduates wa BED anaweza akasoma kitu chengine tofauti na ualimu kwa level za masters na PhD. Ikumbukwe tu kuwa masomo ya postgraduate yanategemea ulisoma Nini katika degree yako ya Kwanza. Kama mtu alisoma BED program ndani yake akasoma let's say geography basi anaweza kusoma masters zote zinahusiana na geography Kama vile natural resources manament, project planning, climate change, demography, geography yenyewe, GIS ambazo kimsingi si ualimu kabisa. In short Kama umesoma masomo ya sanaa Basi unaweza kusoma program nyingi za masters ambazo ni za sanaa Kama socialogy, community development, development studies na nyengine nyingi. Na hata yule wa BAED/BSC ED Vilevile atasoma programs za postgraduate kulingana na specialization yake katika degree ya awali.

Mwisho, Kuna baadhi ya vyuo ambavyo hutoa BED programs bila masomo ya kufundishia, yaani utasoma masomo ya ualimu na specialization yako Kama vile psychology bila masomo ya msingi Kama vile physics, history, math, n.k ambapo itaku-limit kutoajiriwa Kama mwalimu wa masomo ya shule ya msingi au sekondari.

Kama kuna mwenye swali na aulize maana huu ni uwanja wa wasomi, wapo wenye ujuzi zaidi yangu, huu uzi unaweza kuwa wenye faida katika kuchagua kile unachokipenda bila wasiwasi wowote. Karibuni
Naomba kuuliza kwa udom mtu anaesoma BED PPM, lazma kusoma masomo mawali,uliyotoka nayo advance,
 
Ni kozi zipi kwa udom,za education zinazohitaji usome somo moja tu la kufundishia,msaada tafadhali ukinitajia zote
Ni
-bachelor of Education in special need
-bachelor of education in guidance and counseling
-bachelor of education in early childhood education
-na bachelor of education in science with ICT
 
Habari za muda huu wanajamvi, Nianze tu kwa kusema kuwa Kuna upotoshwaji mkubwa juu ya program mbili hizi(BAED/BSc Ed vs BED) ambapo watu wengi wamekuwa wakitoa maelezo ambayo si ya kweli.

Lengo langu ni kuwasaidia wale ambao watahitaji kufahamu zaidi kuhusiana na programs za elimu ili waweze kujiunga bila maswali mengi na gagaziko lolote. Hii haimaanishi Mimi ni mjuzi sana lakini kwa kiwango changu naweza kuchangia kitu katika hili na kuwasaidia wanafunzi watarajiwa na ndugu zetu kuwa na machaguo sahihi.

Kwanza kabisa nipende kuwafahamisha kuwa Bachelors of education zipo za aina nyingi, wengi wamezoea kuitaja bachelor of education in arts (BED ARTS), lakini ukweli ni kuwa BED programs zipo nyingi Sana Kama vile:
  • Bachelor of Education in psychology (BED PSY)
  • Bachelor of Education in policy planning and management (BED PPM),
  • Bachelor of Education in guidance and counselling (BED GUCO)
  • Bachelor of Education in science (BED SC),
  • Bachelor of Education in special education (BED SPED)
  • Bachelor of Education in adult education and community development (BED AECD)
  • Bachelor of Education in science with ICT,
  • Bachelor of Education in early childhood education (BED ECE) na nyengine nyingi

Tofauti iliyopo Kati ya bachelor of arts/science with education na bachelor of education in (...................) ni concentration ya masomo yako yaani ni wapi unasoma courses nyingi kushinda kwengine, kwa BAED na BSC ED wanasoma courses nyingi za teaching subjects Kama vile history, biology, geography, physics nk ila kwa BED programs concentration inakuwa kubwa sana katika teaching methodology (namna ya ufundishaji) kwaiyo muda mwingi na credit nyingi zitakuwa kwa masomo ya ualimu. Pia katika B.ED Programs unakuwa na sehemu nyengine ya specialization Kama vile psychology, educational policy, planning and management, guidance and couselling na nyengine nyingi Kama tulivyoona hapo juu.

Watu wa programs za BED wanaandaliwa kufundisha vyuo vya elimu vya Kati kwa maana ya certificate na diploma ya ualimu lakini watu wa BAED ni walimu wa secondari ingawa mtu wa BED anaweza fundisha sekondari pia.

Lengo la Uzi huu ni kuondoa dhana potofu (misconception) kuhusiana na tofauti iliyopo kati ya BAED/BSC ED na BED programs.
Kwanza kabisa, si kweli kwamba ukisoma BED program unakuwa na somo moja la kufundishia. Hili ni suala linalotokana na utaratibu wa chuo husika, vipo vyuo ambavyo kwa Bachelor of Education in arts/science ni lazima ku-opt masomo mawili ya kufundishia, mfano nzuri ni UDOM, Institute of adult education n.k. ni lazima kuchukua masomo mawili ya kufundishia ambapo moja ni major subject na jengine ni minor one. Ingawa kwa UDOM,TUMA n.k. Kuna BED programs ambazo utasomea somo moja la kufundishia Kama vile BED GUCO, ECE na SPED.

Si kweli kuwa ukisoma BED programs basi huwezi kusoma kitu tofauti na elimu, hii si kweli kabisa. Graduates wa BED anaweza akasoma kitu chengine tofauti na ualimu kwa level za masters na PhD. Ikumbukwe tu kuwa masomo ya postgraduate yanategemea ulisoma Nini katika degree yako ya Kwanza. Kama mtu alisoma BED program ndani yake akasoma let's say geography basi anaweza kusoma masters zote zinahusiana na geography Kama vile natural resources manament, project planning, climate change, demography, geography yenyewe, GIS ambazo kimsingi si ualimu kabisa. In short Kama umesoma masomo ya sanaa Basi unaweza kusoma program nyingi za masters ambazo ni za sanaa Kama socialogy, community development, development studies na nyengine nyingi. Na hata yule wa BAED/BSC ED Vilevile atasoma programs za postgraduate kulingana na specialization yake katika degree ya awali.

Mwisho, Kuna baadhi ya vyuo ambavyo hutoa BED programs bila masomo ya kufundishia, yaani utasoma masomo ya ualimu na specialization yako Kama vile psychology bila masomo ya msingi Kama vile physics, history, math, n.k ambapo itaku-limit kutoajiriwa Kama mwalimu wa masomo ya shule ya msingi au sekondari.

Kama kuna mwenye swali na aulize maana huu ni uwanja wa wasomi, wapo wenye ujuzi zaidi yangu, huu uzi unaweza kuwa wenye faida katika kuchagua kile unachokipenda bila wasiwasi wowote. Karibuni
Kwa hiyo utofauti wa hizo kozi Ni ukisoma moja wapo unafundisha vyuo vya Kati na ukisoma Bsc.ed unafundisha sekondari.kumbe haina haja ya kuzitofautisha zote tu zingekua za aina moja Mana zote nikwaajili ya kufundisha na kwenye kujiendeleza zinaendana
 
Ni
-bachelor of Education in special need
-bachelor of education in guidance and counseling
-bachelor of education in early childhood education
-na bachelor of education in science with ICT
Asante sna, kwa ufafanuzi,japo nilitaka sna hyo Bed PPM,kumbe ni masomo mawil haa,inabidi tu niende sped,
 
Kwa hiyo utofauti wa hizo kozi Ni ukisoma moja wapo unafundisha vyuo vya Kati na ukisoma Bsc.ed unafundisha sekondari.kumbe haina haja ya kuzitofautisha zote tu zingekua za aina moja Mana zote nikwaajili ya kufundisha na kwenye kujiendeleza zinaendana
Yeah hamna tofauti sana
 
Back
Top Bottom